Wakulu mambo niaje?
Sasa updates ya list ya jumatano dhidi ya hawa Bolton naona itakuwa kama ifuatavyo maana Walcott na Denilson wamerudi kwenye kikosi.
Arsenal probable line-up
Almunia, Sagna, Clichy, Gallas, Vermaelen, Diaby, Fabregas, Denilson, Walcott, Eduardo na Arshavin.
Subs wanaweza kuwa Victor Manone, Desmunds ambae alicheza kama dakika sabini hivi na akatolewa maana jna dhidi ya Bolton alikuwa akipoteza sana mipira pale katikati . Pia kuna Amand Traore ambae nae alikuwa akitumika kwa mashambulizi ya Bolton.
Wengine ni Tomas Rosicky, Carlos Vela, Emmanuel-Thomas na Silvestre.