Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Sasa ndio mpira gani huu huyu refa hata kadi hatoi. naona wamempania Fad Aibu!

Huyu refa anaharibu mpira sasa.
 
_47127937_cesc466getty.jpg
 
duuuh chuma cha pili kile kilikuwa daamn.tunatakiwa tuwapige cha pili kabla half time hawa.

AW, Vijana wakitulia bado tuna goli mbili zaidi na J'tano tutawachapa tena na kujizolea six points toka kwao na kuendelea kula sahani moja na akina Chelsea na MANU.
 
Duh! Almanusra.... nilishafumba macho
 
Kwechi kumuneti....sisi 2 wao 0...ha ha ha ha ha
 
Back
Top Bottom