Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

_47128148_fabed466pa.jpg


That was absolutely nice cap.
 
Game Over.Sisi mbili wao sufuri,pointi 3 safi,Jumatano tunachukua nyingine kutoka kwa Bolton ambapo tutafikisha pointi 48(tutakuwa swa na Chelsiki...lol)
 
wakija kwetu tuwapige 5 au 6 ili tujaribu kuongeza magoli manake naona mwaka huu ubingwa unaweza kuchukuliwa hata kwa goal difference.
 
Khe khe khe Chelsick aka Mafioso, only one peasant was around intermittently but the majority were Invisible without signing but waiting for the opportunity which never came.
 
Ilikuwa mechi nzuri yenye kuonesha wazi kuwa next week on 20th, tutawafunga 5.........sasa nahamia african cup....shukurani za pekee ziwaendee wana-Arsenal waliokuwepo leo hii ndani ya nyumba nao ni Balantanda, Wacha1, Arsene Wenger, Sipo, MpigaFilimbi, Bubu Ataka Kusema, na mimi mwenyewe jamani.............wakati huohuoa akina mbu, kweli, Richard tunawasalimu maana hatukuwaona......
 
Lucky fatty Arse


Yeah! and on top of that we lost two good players Adebayor and Toure, but we are very lucky....LOL! usisahau lakini bahati ya mwenzio....
Haya mimi nahamia kwenye American Football sasa kati ya Dallas Cowboys na Minnesota Vikings
 
Yeah! and on top of that we lost two good players Adebayor and Toure, but we are very lucky....LOL! usisahau lakini bahati ya mwenzio....
mie nasubiri sana hio siku pundits wa uingereza wataacha ubaguzi wao na kumpa Proffesor Wenger credit zake anazo stahili.jamaa ana budget tight kushinda top managers wowote lakini ana survive pale juu.hii inatokana kuwa anakipaji cha kufundisha na wala sio nguvu ya pesa ndio aweze kupata results.
 
Congrats the Gunners, naona moto wenu this time round sio wa mchezo..
 
_47128268_merida_ap.jpg


Fran Merida na chuma cha pili. Hiki ndicho kilichowaondoa mashabiki wa timu flani kijiweni.
 
By the end of May, itakuwa hivi:

Arsenal
Chelsea
Man u!

Mark these words!
 
Kila siku naomba Mungu iwe hivi,maana kwa jinsi tulivyo na ukame wa vikombe mpaka inasikitisha

Sasa kama mnajua kuna ukame wa vikombe, kwa nini kwenye mechi za Curling, FA etc hampeleki kikosi imara??

Anyway, mwaka huu naona kuna siri mmeigundua!
 
Back
Top Bottom