Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

arsenali anakoswa tena. Shenzy! anaokoa mara ya nne. Arsenali hawajafika kwa kipa wa Hull mpaka saa hii..
 
Hivi Arsenane hamna RB mwingine? huyu Sagna ni takataka anatakiwa akacheze premiership huko.
 
Shay Long anasumbua sana pale mbele. Per ajiangalie vizuri na hiyo yellow yake moja.
 
Good goal from Arsenal Ozil na Carzola na Ramsey wanaonana vizuri.
 
ayaaa...connection to the DStv is lost. Do not switch off your decoder.....pambaf hawa DStv na hela zote tunazolipa.
 
Livermooore! Anagongesha besela hapa.
Duh ulikuwa kwenye kichwa changu nilitaka kusema neno Besela nikaona nitaonekana wa zamani hehehe Leo nawapa Nguvu wale watani na mpinzani wanaocheza baadae watoe tu draw!
 
Back
Top Bottom