Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

.......they said it was all over? It is now......#COYG , let us pick up our pieces and move on!

Tuanzane na #postmortem sasa, au bado wenzangu mna matumaini ya #lifesupportmachine aka "mathematically" speaking we still have chances for this and that?

Bro Wacha1 haya matokeo yanafadhaisha, but we are the #Gunners , there's still life after all this trauma..... We'll always bounce back,....keeping the faith!

.... Richard wapi analysis zako mkuu, Balantanda, njoo utupie madongo huku, Viper, rubaman, Wandugu Masanja, Piere. Fm vipi banaa, tuendeleeni kubanana humu!

......#COYG , it's a battle cry, Together We Stand!!!!

View attachment 149788

#MosKwito !
attachment.php

Uzuri wa wapenzi wa Arsenal sio plastic fans wala Glory hunters...Wengi wetu ni die hard Gunners.....

Once a Gunner, always a Gunner ......

#TulishazoeaSisi ......

All in all AW anatakiwa abadili mfumo wake wa usajili....Awe anasajili kulingana na mahitaji ya timu na sio anasajili kuwafurahisha watu/mashabiki...i.e kusajili kwa shinikizo...Timu kwa muda mrefu inahitaji kuwa striker wa daraja la juu, striker wa aina ya RVP au CR.....Yeye anamng'ang'ania tu Giroud....

Arsenal imekuwa ni timu ambayo inaanza vizuri ligi kiasi cha kuwatia matumaini mashabiki wake, lakini inapotokea majeruhi tu, timu inapoteza muelekeo....Mfano ni msimu huu, mara baada ya kuumia kwa Ramsey, Ozil na Wilshere timu ilipoteza kabisa muelekeo.....Endapo AW angekuwa na wachezaji mbadala wa hao timu ingeendelea kuwa imara, mfano mzuri ni Man City au Chelsea, hawa hata wawe na majeruhi kiasi gani hawatetereki kwa sababu wana wachezaji wengi na wazuri ambao ni mbadala wa 1st eleven.....

Yote kwa yote ARSENAL bado ni timu ninayoipenda kwa dhati ya moyo wangu....

Once a Gunner, always a Gunner....

Together We Stand....
 
simlaumu Wenger kwani yupo kwa lengo maalum
Wachezaji wetu wengi wanatoka Ufaransa jiulize kwanini?
Jaribu kumfuatiliya zaidi ndio mutamjuwa yeye nani

Ofcoz wachezaji wetu wengi sasa ni Wajerumani...Zamani alikuwa akienda kwao kwani influence yake kule ilikuwa kubwa na kulikuwa na vipaji ligi ya Le Champione lakini si zama hizi

Wenger ni kocha mzuri lakini ni mgumu sana ku adapt Mazingira mapya......hasa ya modern game,sio siri Arsenal wao maandalizi ya next game wanatizama "Self Strength" za timu yao bila ku analys weakness za wapinzani na jinsi ya kuzitumia...hili ndilo linalomfelisha...

No change in Tactics toka Tumepigwa Anfield Kila tunaekutana nae anatumia style hiyo hiyo kutumaliza...hii ni down to a manager

Lakini nahisi wenger ataondoka msimu ukiisha...naona its better for him kuliko kuendelea kuji embarass kwa makocha vijana ambao ameanza kufundisha wao wakiwa bado wachezaji...

Akibakia maana yake abadilike..kitu ambacho ni kigumu kwake kubadilika...
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
.......they said it was all over? It is now......#COYG , let us pick up our pieces and move on!

Tuanzane na #postmortem sasa, au bado wenzangu mna matumaini ya #lifesupportmachine aka "mathematically" speaking we still have chances for this and that?

Bro Wacha1 haya matokeo yanafadhaisha, but we are the #Gunners , there's still life after all this trauma..... We'll always bounce back,....keeping the faith!

.... Richard wapi analysis zako mkuu, Balantanda, njoo utupie madongo huku, Viper, rubaman, Wandugu Masanja, Piere. Fm vipi banaa, tuendeleeni kubanana humu!

......#COYG , it's a battle cry, Together We Stand!!!!

View attachment 149788

#MosKwito !

Mdudu Mbu a.k.a Moskwito

Naona unawaita wenzako! Pole sn Mkuu

Timu ya Arsenal ina mapungufu sn, yani kuanzia bench la ufundi mpk wachezaji wenyewe! Km kufanya mabadiriko yanatakiwa yafanywe makubwa sn!

Mara nyingi hua najiuliza. Kwanini Wenger au ilikuaje Wenger wakati ule Wa kina Viera na Henry na Beckamp aliweza kujenga timu ambayo ilifanya Vzr?!! Na pia kuna wakati timu ilikua Ina vijana na wazoefu ilifanya vizuri mpk kuingia final ya UCL Pamoja Fc Barcelona? !!!!

Kwanini sasaiv Arsenal imekua ndembe ndembe? Hakuna timu timu ya ushindani msimu mzima! Wachezaji wanachoka na kushuka kiwango mapema sn! Na pia majeruhi ni wengi sn!

Kuna haja ya kutafakari sn!
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: Mbu
Ofcoz wachezaji wetu wengi sasa ni Wajerumani...Zamani alikuwa akienda kwao kwani influence yake kule ilikuwa kubwa na kulikuwa na vipaji ligi ya Le Champione lakini si zama hizi

Wenger ni kocha mzuri lakini ni mgumu sana ku adapt Mazingira mapya......hasa ya modern game,sio siri Arsenal wao maandalizi ya next game wanatizama "Self Strength" za timu yao bila ku analys weakness za wapinzani na jinsi ya kuzitumia...hili ndilo linalomfelisha...

No change in Tactics toka Tumepigwa Anfield Kila tunaekutana nae anatumia style hiyo hiyo kutumaliza...hii ni down to a manager

Lakini nahisi wenger ataondoka msimu ukiisha...naona its better for him kuliko kuendelea kuji embarass kwa makocha vijana ambao ameanza kufundisha wao wakiwa bado wachezaji...

Akibakia maana yake abadilike..kitu ambacho ni kigumu kwake kubadilika...

....naaam, kama mzee Fergie alivyosoma alama za nyakati.
Le Professeur is a great Manager lakini kwa sasa "Vijana" wana mbinu mbadala, ngumu kwake ku adapt tena....

Elite European teams zote sasa wanakwenda na tactics za "vijana" kama #Simeone , #Klopp , #Guardiola , #Martinez , #Rodgers , #Antonio Conte, etc....

#MosKwito !
 
Mdudu Mbu a.k.a Moskwito

Naona unawaita wenzako! Pole sn Mkuu

Timu ya Arsenal ina mapungufu sn, yani kuanzia bench la ufundi mpk wachezaji wenyewe! Km kufanya mabadiriko yanatakiwa yafanywe makubwa sn!

Mara nyingi hua najiuliza. Kwanini Wenger au ilikuaje Wenger wakati ule Wa kina Viera na Henry na Beckamp aliweza kujenga timu ambayo ilifanya Vzr?!! Na pia kuna wakati timu ilikua Ina vijana na wazoefu ilifanya vizuri mpk kuingia final ya UCL Pamoja Fc Barcelona? !!!!

Kwanini sasaiv Arsenal imekua ndembe ndembe? Hakuna timu timu ya ushindani msimu mzima! Wachezaji wanachoka na kushuka kiwango mapema sn! Na pia majeruhi ni wengi sn!

Kuna haja ya kutafakari sn!

Arsene Wenger hajawahi kuchukua kombe na Arsenal alioitengeneza yote yeye mwenyewe. timu alioikuta kaiimarisha kidogo akapata makombe walivyoondoka wote aliowakuta mpaka leo hajashinda kikombe,labda EMIRATE CUP.
 
Mzee Wenger ana optional mbili mbele yake:

Mosi kubadili mfumo wake wa kimchezo kumfanya awe na mipango A, Be, Che na De kiasi cha kwafanya wapinzani wake wasijue leo timu inachezaje.

Pili, asajili kulingana na nyakati hizi. kuhakikisha anakuwa na wachezaji wapambanaji na si ma pop stars!

Hapo tutafika nchi ya ahadi.
 
Hizo options hawezi kuzi apply...option yake ya Tatu ni kuondoka na baada ya kushinda FA cup aondoke kwa wema....
 
Arsene Wenger hajawahi kuchukua kombe na Arsenal alioitengeneza yote yeye mwenyewe. timu alioikuta kaiimarisha kidogo akapata makombe walivyoondoka wote aliowakuta mpaka leo hajashinda kikombe,labda EMIRATE CUP.

we jamaa acha uongo...jens,gilberto,cole,vieira,Henry,Lungberg,wiltold,Reyes, Pires, lauren, Campbell, Toure...wote hawa walinunuliwa na ARSENE mwenyewe...Keown,adams,bergkamp,Parlour, seaman na Winterburn hawa aliwakuta

usiongee kitu usichojua au huna hukakika
 
Arsene Wenger hajawahi kuchukua kombe na Arsenal alioitengeneza yote yeye mwenyewe. timu alioikuta kaiimarisha kidogo akapata makombe walivyoondoka wote aliowakuta mpaka leo hajashinda kikombe,labda EMIRATE CUP.

Mkuu unakumbuka Arsenal ndio waliwahi kuifunga Ac Milan ndani ya Sanciro? Zile mbinu ngumu na uimara Wa timu ulikua mzuri sn! Kwanini Siku hizi timu imekua zoflehali!

Yani kwa kweli Ktk jiji la London Arsenal wanatuangusha sn!
 
....naaam, kama mzee Fergie alivyosoma alama za nyakati.
Le Professeur is a great Manager lakini kwa sasa "Vijana" wana mbinu mbadala, ngumu kwake ku adapt tena....

Elite European teams zote sasa wanakwenda na tactics za "vijana" kama #Simeone , #Klopp , #Guardiola , #Martinez , #Rodgers , #Antonio Conte, etc....

#MosKwito !

fergie alikuwa na jopo la washauri wa kiufundi nyuma yake...mike phelan, rene maulenteen na wengine...kisha Fergie alikuwa good tactician...not that predictable, pia timu ya manure haikumbwi na injury crisis kama Arsenal

ukiangalia kwa makini utagundua kuwa defence yetu inacheza 'High line" sio "deep" na hii aina ya mchezo ni suicidal kama viungo wenu wanapoteza mpira kirahisi mtafungwa kwenye counter attacks...barca wanacheza High line ila wana world class midfielders kuwin every ball sio Arsenal ya Arsene wenger..

wachezaji tulio nao ni top class except Giroud...ila Tactical awareness ya kocha wetu ni majanga...

players by players sie na timu kama LIVERPOOL wanatuzidi Struridge na Suarez basi...usizungumzie Everton..tuko miles nyingi sana juu yao...lakini wametupiga "convicingly"

Tactical bankrupcy...tusipepese macho, i like the old man but his time is up...akubali yaishe tu
 
Poleni sana ndugu zetu
Tatizo kubwa la Wenger ni kutochange tactics kutokana na timu anayocheza nayo kucheza na Stoke,WestHam ni tofauti kabisa kucheza na Liverpool au Man City

Sijui kwa nini anapenda wachezaji wanaofanana sioni tofauti ya Rosisky,Wilshere,Arteta,Cazorla,Ramsey,Ozil.Flamin ndio yuko tofauti na mchango wake umeonekana anahitaji viungo wakabaji at least 2

Kuna wachezaji hawana msaada wowote Monreal,Arteta,Podolski,Bertnder awauze then anunue at least striker 2 kumpa pressure Giroud still ni mchezaji mzuri ingawa mashabiki wengi wa Arsenal wanamuona hafai

Still naamini Arsenal atamaliza ligi nafasi ya nne
 
Wenger bado ni kocha mzuri wa kuinua vipaji tatizo linakuwa kuwa hataki kubadilisha mfumo wake kufuata wakati huu tulionao, tulipoanza ligi safari hii tulijenga zaidi kushambulia kwa kushitukia na tuliondoka vizuri lakini kubadilisha mfumo wa ulinzi na viungo ndio tulipodondoka
Uchukuaji wa vikombe kwa uoni wangu, Arsene hakuuweka kipaumbele kwani VP na Nasri hawakuondoka bure ila ukosekanaji wa kikombe kinachotambulika
Arsene yupo zaidi kuinua vipaji na kuuza
 
Wenger bado ni kocha mzuri wa kuinua vipaji tatizo linakuwa kuwa hataki kubadilisha mfumo....

Arsene yupo zaidi kuinua vipaji na kuuza

,.......dahhh?! ndio kusema sie tuendelee kuwa #washiriki tu EPL na CL sio #Washindani wenye lengo la kutwaa Ubingwa?!

No way bana, matakwa yangu Arsenal iwe mshindani na awe Bingwa hata kama sio kila kombe but angalau chupu chupu 2nd place/Runners Up....

Siridhiki na huo mfumo wa kuinua vipaji na kuuza wachezaji, kwa faida ya nani? #Board ?....yes I bet! No wonder walimfanyia njama David Dein aondoke na Lady Nina akauza shares zake.

#MosKwito !
 
we jamaa acha uongo...jens,gilberto,cole,vieira,henry,lungberg,wiltold,reyes, pires, lauren, campbell, toure...wote hawa walinunuliwa na arsene mwenyewe...keown,adams,bergkamp,parlour, seaman na winterburn hawa aliwakuta

usiongee kitu usichojua au huna hukakika

usikurupuke soma post ya mtu kwa umakini uelewe....hii ni fact, arsene wenger hajawahi kushinda title england kwa timu aliyoitengeneza yeye yote....mataji yote aliyoshinda kulikuwa na wachezaji aliowakuta na ndio ilikuwa backbone walivyoondoka hao na vikombe vimekata.......sijasema hajanunua mchezaji....prove me wrong kama kashinda kombe na timu complete aliyoitengeneza iweke hapa.
 
Nitajie kikosi cha INVICIBLES...ndani yumo Dennis berkamp na Martin Keown na Ray parlour...Kati yao watatu Wawili kwa msimu wa 2003-2004 walikuwa merely Bench warmers ispokuwa Dennis...waliobakia woote ni wachezaji wake Arsene

Nani kakurupuka?

Wachezaji waliocheza Chini ya wenger ambao walikuwa ni World class players na aliwanunua mwenyewe...Jens,Lauren,Sol,Ashley cole,Gilberto silva,Pires,Vieira,Freddy Ljungberg,Edu,Wiltod,Henry na wengine kama Kanu,Reyes...

Ambao aliwakuta ni Winterburn,Bould,Keown,Adams,Seaman,Lee dixon, Platt,Wright na Dennis Bergkamp...ila hakukaa nao sana zaidi aliongeza wachezaji wake toka Ufaransa...
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Nitajie kikosi cha INVICIBLES...ndani yumo Dennis berkamp na Martin Keown na Ray parlour...Kati yao watatu Wawili kwa msimu wa 2003-2004 walikuwa merely Bench warmers ispokuwa Dennis...waliobakia woote ni wachezaji wake Arsene

Nani kakurupuka?

sasa unajijibu mwenyewe. hajawahi kushinda kombe na timu aliyoiandaa yeye complete unakubali? au unakataa?
 
Back
Top Bottom