Ubumuntu
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 14,382
- 10,951
Tusipoangalia vipi tena na ishakuwa "confirmed".....Everton will finish on fourth....
Sisi tutakuwa tunagombea 5th na Man United.....
Tusipoangalia vipi tena na ishakuwa "confirmed".....Everton will finish on fourth....
Sisi tutakuwa tunagombea 5th na Man United.....
Kukosekana kwa ramsey, walcott, ozil, wilshere ni sawa na liverpool bila Gerald, Sturridge, na Suarez...mtamlaumu wenger bure, kuanzia pale jwa arteta mpaka kwa giroud wale wote walitakiwa wawe subs.
Kwenda zako wewe......
duuh! shukrani bhana japo tunajua ni pole ya kinafiki.
Kwa mwendo huu tusahau FA cup. Kilichobaki tuanze kufikiria jinsi ya kupata kombe letu la nafasi ya 4 maana Wigan watatupiga ubaya jmosi ijayo. Prediction Wigan 2-1 Arsenal. Kama ni mpenzi wa Arsenal na una bet jikamulie pesa mapema.
Duh! Wacha1 utaleta picha au nizimwage mimi hapa asubuhi???! Khe khe khe khe
Poleni sana wakuu..majirani...!!!
Mimi nimeshatupia hapo moja, jirani yako akipatwa msiba huwezi kuweka kigodoro kwako ni lazima muomboleze pamoja