Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

wachezaji hata hawajitumi watashindaje kihivyo? duh ila hii timu yetu kweli pasua kichwa
 
Kukosekana kwa ramsey, walcott, ozil, wilshere ni sawa na liverpool bila Gerald, Sturridge, na Suarez...mtamlaumu wenger bure, kuanzia pale jwa arteta mpaka kwa giroud wale wote walitakiwa wawe subs.
 
Hello Gunners.

We got what we deserved today!.

We have been out-played, out-fought and out-though by the Toffees.

We have now conceded 20 goals in the four EPL away games. This is not a "bad days in the office" like some Gunners suggesting and believe. The management need to rethink seriously.

Kwa sasa hata nafasi ya nne haiko mikononi mwetu bali kuomba timu zingine zitusaidie wakati sisi nasi tushinde match zingine.

Anyway, huu ndiyo uzuri wa football. We live on edge every match and everything is possible in EPL.

Gunners, keep the spirit and keep it going.

Once a Gunner, Always a Gunner.
 
Kiwango kibovu kabisa Giroud is a dam.. Shit kaendeleza upumbavu wake duuh hatari saana.

yaani hapa ndo wenger anapowaangusha huitaji hata degree kujua kwamba giroud ni mzigo maforward wapo kibao zaidi yake kiuwezo akiwemo ba,lukaku benteke,podolski chicharito mnaweza kuja kumchukua pale na wengine wengi ila ufaransa unamcost babu yenu
 
Kukosekana kwa ramsey, walcott, ozil, wilshere ni sawa na liverpool bila Gerald, Sturridge, na Suarez...mtamlaumu wenger bure, kuanzia pale jwa arteta mpaka kwa giroud wale wote walitakiwa wawe subs.

I kinda agree with you on this. Hata hivyo, huu siyo msimu pekee ambao Arsenal wame-disappoint mashabiki wake.

Imekuwa hivi kila msimu kwa muda mrefu sasa. Halafu wachezaji wengi wa Arsenal hawa-improve individually.

Bado wanacheza kwa kiwango kile kile walichokuwa nacho wakati bado wakiwa teenagers.
 
Duh stili tunaendelea na the same mistake kwamba msimu unapoanza tunaanza vizuri but at the end of the season tunashindwa kuwa vizur nadhani Wenger na bench lake la ufundi wanatakiwa kufanya kitu cha ziada.

nimechunguza nimeona arsenal hawana plan B hili ndo tatizo kuu na leo hata mkali wangu sagna mzee wa makrosi matamu ya ukweli kashindwa kabisa kupiga krosi kupanda kwa baines kulimshinda kumfanya awe comfortable na inexperiece ya monreal pia imewacost sijui anatetemeka nini alikuwa hajiamini? Cha kufanya ni kuwa na plan b kama plan a ikifeli na hiyo inaletwa kwa kuwa na wachezaji aina tofauti wachezaji wengi mlioajaza wa aina moja pasi nyingi na mipira mifupi mifupi hawapendelei sana mpira wa krosi wala mashuti chamberlain sub yake ilisaidia sana coz ana spidi walcot asingekuwa majeruhi naamini tungekuwa tunaongea mengine sasa msingekuwa vibaya hivi coz yule anauchezaji wa tofauti na players wengine na hicho ndo mnachokimiss sasa.
 
I kind agree with you on this. Hata hivyo, huu siyo msimu pekee ambao Arsenal wame-disappoint mashabiki wake.

Imekuwa hivi kila msimu kwa muda mrefu sasa. Halafu wachezaji wengi wa Arsenal hawa-improve individually.

Bado wanacheza kwa kiwango kile kile walichokuwa nacho wakati bado wakiwa teenagers.

Huyu wenger assignment yake miaka yote na aina ya wachezaji aliowezeshwa ilikuwa kuingia kwenye big four. Sasa club iko financially strong anatakiwa kununua wachezaji waliothibitika kama kina ballotelli,msimu ujao akinunua watoto kama vile Arsenal ni academy ndio tumnyofoe shingo.
 
Teh Teh Teh

Haka kajukwaa misiba kila Siku!

Kutoka kuongaza ligi kwa nusu msimu mpk kugombania nafasi ya 4?!!!
 
me nafikiri tatizo kubwa alilonalo huyu mzee kwa miaka ya hivi karibuni ni flexibility ya mbuni zake,ubunifu na ufundi, ukijaribu kuangalia mechi zake nyingi za kupigania nafasi ya 4 kwa misimu kadhaa iliyopita mpaka sasa hakuna mabadiliko ya maana sana yanayoonekana kwenye hayo maeneo pamoja na kuongeza/kununua baadhi ya wachezaji wachache ambao kwa kiasi kukubwa walikuwa wanafanya vizuri kwenye timu zao walizotoka,arteta,chamark,giroud etc,so inawezekana pia wachezaji wakawa wanamuangusha lakini yeye kama manager hawezi kulikimbia hili hata awe na sababu millions
 
nimechunguza nimeona arsenal hawana plan B hili ndo tatizo kuu na leo hata mkali wangu sagna mzee wa makrosi matamu ya ukweli kashindwa kabisa kupiga krosi kupanda kwa baines kulimshinda kumfanya awe comfortable na inexperiece ya monreal pia imewacost sijui anatetemeka nini alikuwa hajiamini? Cha kufanya ni kuwa na plan b kama plan a ikifeli na hiyo inaletwa kwa kuwa na wachezaji aina tofauti wachezaji wengi mlioajaza wa aina moja pasi nyingi na mipira mifupi mifupi hawapendelei sana mpira wa krosi wala mashuti chamberlain sub yake ilisaidia sana coz ana spidi walcot asingekuwa majeruhi naamini tungekuwa tunaongea mengine sasa msingekuwa vibaya hivi coz yule anauchezaji wa tofauti na players wengine na hicho ndo mnachokimiss sasa.

Nakubaliana na wewe mkuu na hii ya kutokuwa na plan b siyo leo tu au msimu huu tu ni takribani misimu yote 9 bila kikombe yaan tokea watu kama akina Viera, Tony Adam, lee dexon, Denis Berkamp, Keown, Ray Poulor na wengine wengi waondoke Arsenal haina plan B na ndio maana Arsenal imekuwa ni timu ambayo ukiitanguriza tu Gori 2 ndio basi wanakuwa hawana uwezo wa kubadili matokeo na hata ukifuatilia Arsenal ikipata red card 1 hata kama waliokuwa wanaongoza Goli 3 basi zinarudishwa na kama ilikuwa imefungwa basi magoli ndio yataongezeka.
 
Back
Top Bottom