Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hata tukipata nafasi ya 4 hatavuka qualification phase for UCL. Hii timu ina mapungufu (wachezaji) kibao, kuliko timu hata wale wa nafasi ya 7. Tujifunze kutowacheka wengine wakati na sisi tupo ovyo ovyo
 
Wenger anamkimbiza Moyes very soon mtatukuta,karibuni sana
 
....enhe
Leo matokeo yenu vipi braza?
Maana tangu mumfunge Olympiakos mna kibriiiii

#MosKwito !

Matokeo yetu yanajulikana msimu huu tunatoa zawadi Wenger tu ndio ameshindwa kuchukua.Hivi March mmeshinda mechi moja tu?
 
Wigan watatufunga pia kama Chelsea. Wachezaji wetu wapo wapo kama hawajala. No morale kila mtu anacheza kwa woga. Hatuwezi kuhimili timu zinazocheza kwa presha na kwa spidi. Tuna wachezaji kibao waliozidi miaka hasa katikati. Another trophyless season beckoning. Afu us'enge muda wa kusajili ukifika hatutasajili hadi mwishoni mwishoni tena itakuwa wachezaji wa free (Flamini) na wasio na la maana kama Giroud.
 
march tulisema ARSENAL ngoma ngumu hatukueleweka

stoke city 1-0 arsenal
spurs 0-1 arsenal
chelsea 6-0 arsenal
arsenal 2-2 swansea
4 OUT OF 12PTS HARDLY EPL CHAMPIONSHIP FORM......NEXT MAN CITY

NA LEO REFA KAWAOKOA SWANSEA WALIKUWA WANAENDA KUFUNGA AKAMALIZA MPIRA........
 
The positive from tonight's game is that They can't laugh hard at us, but we can just laugh and swear at ourselves.
 
Arsenal race to the title was effectivelly endend by Flamini tonight.

Kilichobaki ni kutetea nafasi ya nne ya champions league ambayo inanyemelewa na Everton and who knows Man Utd kama wakishinda champions league this season.

So its another dissapointing season for Arsenal fans but the neutrals didn't expect Arsenal to win the title with those fringe of players.

Wapo waliodhani kuwa Ferguson ndo alikuwa anawawekea kauzibe, but the man is no longer there.

May be FA cup itakuwa kifutia machozi lakini Wigan wana experience ya kucheza Wembley kuliko Arsernal.

Sorry Arsenal fans for being too blunt lakini ingekuwa ni aibu kwa hii ligi Arsenal kufungwa sijui 7, mara 5, mara 6 na kutwaa kombe.

Kwa timu kama Arsernal this is unacceptable. Sometimes you have to accept the reality and take a different direction. Vinginevyo, yatakuwa haya haya kila msimu.

See you next seaon.
 
Arsenal race to the title was effectivelly endend by Flamini tonight.

Kilichobaki ni kutetea nafasi ya nne ya champions league ambayo inanyemelewa na Everton and who knows Man Utd kama wakishinda champions league this season.

So its another dissapointing season for Arsenal fans but the neutrals didnt expect Arsenal to win the title with those fringe of players.

Wapo waliodhani kuwa Ferguson ndo alikuwa anawawekea kauzibe, but the man is no longer there.

May be FA cup itakuwa kifutia machozi lakini Wigan wana experience ya kucheza Wembly kuliko Arsernal.

Sorry Arsenal fans for being to blunt lakini ingekuwa ni aibu kwa hii ligi Arsenal kufungwa sijui 7, mara 5, mara 6 na kutwaa kombe.

Kwa timu kama Arsernal this is unacceptable. Sometimes you have to accept the reality and take a different direction. Vinginevyo, yatakuwa haya haya kila msimu.

See you next seaon.

Mara nyingi tunayasema sn haya juu ya hii timu Lkn wabishi sn! Sasa yanatimia!

Poleni sn jirani zangu!
 
......Mzee #Wenger dahhh, mpaka huruma yaani,....he's holding on too much to his expectations kwamba #Giroud is his 1st choice striker japo mchezaji mwenyewe keshajikatia tamaa...

We cant kill games no more

#MosKwito !

Lets not loose hope Dude maybe next season mzee anaweza soma alama za nyakati na kubadili msimamo wake na kufanya usajili wa maana coz sa hivi hana sababu ya kutokufanya hivyo kama ni deni la uwanja lilisha isha na Puma wameingiza paund milion 100 na Ushee.
 
Wont happen but for now, I reserve my doubts chief....

#MosKwito !
 
kuna wasiwasi hatutapata top 4 trophy msimu huu. Itakuwa aibu kubwa tukiikosa ikizingatiwa tulikuwa tunawacheka Man utd msimu mzima.
 
Back
Top Bottom