Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Nimechukua points 6 Kwa Man City

Points 4 Kwa Arsenal

Points 3 Kwa Liverpool first leg!

Nakuja kuchukua zingine Tarehe 27. Nothing to lose now!
umechukua???

kwikwikwikwiwii... bhwahahahahahahaaa.... khekhekhekheheeeeeeeeeee


yani ulivyoweka utadhani wewe ndio Eden Hazzard, kumbe mmatumbi tu hata huko London hawakujui

Haya baba, time will tell
 
Ili uwe shabiki wa chelsea lazima
uwe na sifa zifuatazo :uwe
umetoka shamba porini yaanh wa
kijijini
:uwe umeanza kushabikia
mpira baada ya mourinho kuwa
kocha wa chelsea ndio maana
hapa tz hakuna cheltako fan
above 30 ambaye kazaliwa
dar
:kama uko above 30 kisha
umezaliwa dar utakuwa msaliti
hasa kutoka arsenal au liverfool
 
Ili uwe shabiki wa chelsea lazima
uwe na sifa zifuatazo :uwe
umetoka shamba porini yaanh wa
kijijini
:uwe umeanza kushabikia
mpira baada ya mourinho kuwa
kocha wa chelsea ndio maana
hapa tz hakuna cheltako fan
above 30 ambaye kazaliwa
dar
:kama uko above 30 kisha
umezaliwa dar utakuwa msaliti
hasa kutoka arsenal au liverfool

Point yako ni nini sasa hapo?
 
Point yako ni nini sasa hapo?

mkuu hajasema kama anatoa point ila ameeleza maelezo yaliyojitosheleza!
pointi ya msingi ni kwanini arsenal anafungwa goli nyingi kitu ambacho hakikua kinatokea miaka ya nyuma!
 
umechukua???

kwikwikwikwiwii... bhwahahahahahahaaa.... khekhekhekheheeeeeeeeeee


yani ulivyoweka utadhani wewe ndio Eden Hazzard, kumbe mmatumbi tu hata huko London hawakujui

Haya baba, time will tell

Teh Teh Teh Teh

Mwanangu Mimi ni shabiki Wa Chelsea niliesajiliwa Au kujisajili ktk timu Kua Fans! Najulikana ktk timu Yangu Kua Tz kuna Fulani!

Ata wewe ukitaka unaweza ukafanya hivyo! Kwahiyo Mimi sio shabiki tu! Mi Najulikana mpk kwenye club yng!
 
......dahhh, mna kampeni jukwaa hili pia liwe la #Chelsea nini?!
Mentor na Ntuzu rudini nyumbani kwenu sasa, msiba umeisha, matanga tushaanua nyie bado mpo tuu?

ImageUploadedByJamiiForums1395733713.987931.jpg


#MosKwito !
 
Last edited by a moderator:
Matanga hayakwishi hadi msiba wa mtu mwingine tuhamie kwake...ombeeni man utd afungwe leo tuhamie kwao! La sivyo imekula kwenu...khe khe khe khe khe khe khe khe
 
Matanga hayakwishi hadi msiba wa mtu mwingine tuhamie kwake...ombeeni man utd afungwe leo tuhamie kwao! La sivyo imekula kwenu...khe khe khe khe khe khe khe khe



Teh Teh Teh

Kwa majibu yako haya Mkuu Mbu Hana la kusema!

Dah binadamu mnamaneno sn!
 
Last edited by a moderator:
wakati kulipokuwa na utawala wa mpito;
sasa mmerudi kule mlikozoea..poleni sana ARSENAL FC.
cc. Ntuzu na Mentor:shocked:



Mkuu niliwambia tangu January lazima washuke kwenye nafasi Yao! Na kweli saizi hao wako ktk nafasi Yao waliyoizoea!
 
Back
Top Bottom