Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

kuna wasiwasi hatutapata top 4 trophy msimu huu. Itakuwa aibu kubwa tukiikosa ikizingatiwa tulikuwa tunawacheka Man utd msimu mzima.

....inaelekea wachezaji morali pekee waliyobakia nayo ni kupigania 4th Position na FA Cup.
Anyway, better than #from Champs to Dumped [7th]!!!
 
Teh Teh Teh Teh

Mwanangu Mimi ni shabiki Wa Chelsea niliesajiliwa Au kujisajili ktk timu Kua Fans! Najulikana ktk timu Yangu Kua Tz kuna Fulani!

Ata wewe ukitaka unaweza ukafanya hivyo! Kwahiyo Mimi sio shabiki tu! Mi Najulikana mpk kwenye club yng!

Mie nilipata membership ya Liverpool overseas funclub in 1991... and i am an active member wa timu na lfctv

ila sijui kama naweza kusema "nimechukua"

kwikwikwikwikwi
 
Mie nilipata membership ya Liverpool overseas funclub in 1991... and i am an active member wa timu na lfctv

ila sijui kama naweza kusema "nimechukua"

kwikwikwikwikwi

Teh Teh Teh Teh!

Kwahiyo Hilo neno kuchukua ndio linakupa shida!?
 
......Mzee #Wenger dahhh, mpaka huruma yaani,....he's holding on too much to his expectations kwamba #Giroud is his 1st choice striker japo mchezaji mwenyewe keshajikatia tamaa...

We cant kill games no more

#MosKwito !
Mbu wewe ndio ulianzisha jukwaa la Liverpool??ulikuwa Liverpool ukahama???
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: Mbu
Lets not loose hope Dude maybe next season mzee anaweza soma alama za nyakati na kubadili msimamo wake na kufanya usajili wa maana coz sa hivi hana sababu ya kutokufanya hivyo kama ni deni la uwanja lilisha isha na Puma wameingiza paund milion 100 na Ushee.

Siyo kufanya usajili wa maana tuu bali pia kuhakikisha kuwa timu ina leaders kama ilivyokuwa enzi za Vieira. Kala alivyosema Scholes:

"They (Arsenal) capitulated at Chelsea and it seems to be a similar theme that happens when they play the top teams. For one reason or another players go missing. The players like Arteta, Cazorla, Rosicky and Ozil, it seems like they go on the pitch with no discipline. There are no leaders like Patrick Vieira, Tony Adams or Martin Keown. When these players go 2-0 down they just carry on what they are doing they have a walk up front, lose the ball, play a nice little one-two and not even bother running back."

Anaendelea "It's Arsenal fans I feel sorry for because it is the same every year. They get a sniff of the title then they go to Chelsea and do nothing. The fans expect Arsenal to be going for the league but they're a million miles away in my eyes. They need characters and leaders. Jack Wilshere came on the scene and looked a top young player but he has never really gone on. He needs the characters like Vieira next to him to take him to the next level. He doesn't look any better player now than he did when he was 17."

Kuna tofauti gani ya uchezaji wa Jack Wilshere alipokuwa na miaka 17 na alivyo sasa? Ame-improve au yuko vile vile?

Nakumbuka enzi zile when Roy Keane and Patrick Vieira wanapo-lead their teams on the pitch unajua tuu hapa lazima kieleweke. You could their passion ya kutokubali kufungwa in their eyes. Lakini ma-captain was siku hizi (serve for the like of Kompany) wanaongoza timu uwanjani utadhani wanaenda kwenye speed dating.

Nakumbuka hata Mourinho alisema juzi hapa kuwa wachezaji wa Madrid kabla ya kuingia uwanjani walikuwa wanajiangalia kwenye viooo kwanza kama wapo soap soap. Imagine unajiangalia kwneye kioo mbele ya ma-captain kama Roy Keane au Patrick Vieira.

Halafu ma-legends wa Arsenal wako wapi? Mambo mabaya but they don't seem even to provide some critical analysis on their team.
 
Mbu wewe ndio ulianzisha jukwaa la Liverpool??ulikuwa Liverpool ukahama???

....hahaa....swali zuri.

Jibu ni hapana, nilianzisha jukwaa la Liverpool kwakuwa wakati huo kulikuwa na majukwaa ya Arsenal, Man United, na Chelsea pekee humu... na kwakuwa washabiki wa Liverpool nawajua humu nikaona niwape Challenge kidgogo na wao.
 
okey......
 
Leo kazi mnayo sanaaaaa...sijui ombeni mungu lakini
 
Attachments

  • 1396061734509.jpg
    1396061734509.jpg
    22.2 KB · Views: 108
Siyo kufanya usajili wa maana tuu bali pia kuhakikisha kuwa timu ina leaders kama ilivyokuwa enzi za Vieira. Kala alivyosema Scholes:

"They (Arsenal) capitulated at Chelsea and it seems to be a similar theme that happens when they play the top teams. For one reason or another players go missing. The players like Arteta, Cazorla, Rosicky and Ozil, it seems like they go on the pitch with no discipline. There are no leaders like Patrick Vieira, Tony Adams or Martin Keown. When these players go 2-0 down they just carry on what they are doing they have a walk up front, lose the ball, play a nice little one-two and not even bother running back."

Anaendelea "It's Arsenal fans I feel sorry for because it is the same every year. They get a sniff of the title then they go to Chelsea and do nothing. The fans expect Arsenal to be going for the league but they're a million miles away in my eyes. They need characters and leaders. Jack Wilshere came on the scene and looked a top young player but he has never really gone on. He needs the characters like Vieira next to him to take him to the next level. He doesn't look any better player now than he did when he was 17."

Kuna tofauti gani ya uchezaji wa Jack Wilshere alipokuwa na miaka 17 na alivyo sasa? Ame-improve au yuko vile vile?

Nakumbuka enzi zile when Roy Keane and Patrick Vieira wanapo-lead their teams on the pitch unajua tuu hapa lazima kieleweke. You could their passion ya kutokubali kufungwa in their eyes. Lakini ma-captain was siku hizi (serve for the like of Kompany) wanaongoza timu uwanjani utadhani wanaenda kwenye speed dating.

Nakumbuka hata Mourinho alisema juzi hapa kuwa wachezaji wa Madrid kabla ya kuingia uwanjani walikuwa wanajiangalia kwenye viooo kwanza kama wapo soap soap. Imagine unajiangalia kwneye kioo mbele ya ma-captain kama Roy Keane au Patrick Vieira.

Halafu ma-legends wa Arsenal wako wapi? Mambo mabaya but they don't seem even to provide some critical analysis on their team.

Nakubaliana na wewe Mkuu EMT ni ukweli kuwa Arsenal imekosa watu kama ilivyokuwa kwa akina Tony Adams, Keown au Patrick Viera Arsenal ya sasa hata kama ilikuwa inaongoza goli 3 halafu mtu akatolewa kwa red card kuna uhakika wa gol zote kurudi wakati kuna timu hata zikiwa na goli 1 tu zina uwezo wa kumantain na kutoruhusu goal wakiwa tayari pungufu. Na binafsi nadhani Wenger anashindwa (kupata tabu) kuwatafuta wachezaji ambao ni viongozi ndani ya uwanja kwasababu ukifuatilia kwa umakini ukimuondoa Patrick Viera wachezaji wengine ambao wanasifika walikuwa viongozi wazuri kama akina Tony Adams Wenger aliwakuta pale Highbury.
So binafsi naamini Wenger anatakiwa kufanya kazi ya ziada kupata wachezaji wa kariba hiyo.
 
Wakuu wa Gunners hawa timu mburukenge wasiwatishe wanashinda kwa envelopes tu. Time will come kila chenye mwanzo kina mwisho Abraham anakufa na timu inakufa ''mark my words'' Ushindi wa rupia hauna furaha ya milele. Karibu nachukua ungo wangu kuelekea Emirates kuwashughulikia Mancs. Habari za uhakika ni kwamba hali ya hewa maridhawa kabisa na kijua kipo gado kuukaribisha mwaka mpya ooo ooo pps New financial year. Wale wenzangu na mie wasisahau tu summer time just around the corner, few hours .... .... .... .... .... .. asiyekubali kushindwa sio mshindani.

BTW wale waliokuwa wananisaka kwa udi na uvumba waje chacha na maswali yao ya kinoko. BTW kumaliza financial year na kutumia ngawira siyo nchezo nilikuwa busy na muda wa kuja kuteta huku haukuwepo thats all but gutted na refa mshenzi mechi yetu pale kwenye cow shed.
 
Wakuu wangu mi niko pori mbaya, hapa nko juu ya mti kusearch network, so sitaweza kuangalia mpira leo...niko mbugani huku mbaya! ! Nasikitika sana kwa hilo, so nitajitahidi kuukwea huu mti ili kupata update ya nn my Gunners wanakifanya. I hope they will bring back flame of hope. Kila la heri.
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Back
Top Bottom