Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Dah dah dah Janjaweed hebu nikumbushe first leg yetu na Liver ilikuwaje? Mbona kutafuta kujiaibisha mwenyewe mkuu?

Si ninyi mliosema Chelsea haina wachezaji wa kumfunga Arsenal leo? Si ninyi mliosema Chelsea haina wachezaji wa kumfunga Man city....haya bana vyenu vidole kubofya...sie mpira tu...!!!

Mkuu Mentor Hongera sn Rafiki yng!

Liverpool ndio alie baki ili tumalize biashara ya EPL msimu huu!
 
Last edited by a moderator:
Ndugu,
Hawa wakubwa tunatakiwa tuwaeshimu kwa kukaa nyuma na kuhakikisha defensi tupo poa ndio tuanze kushambulia tena kwa kustukiza.

Inshort Wenger is too predictabla now adays.
Ni kweli ninakubaliana na wewe.

Sijui kwa nini Arsene anapenda kumweka Arteta badala ya Flamini.

Yeah, inabidi tuisahau hii machi kwa sasa na tuangalie mbele.

Once a Gunner, Always a Gunner.
 
Nashukuru Mkuu Kwa kukubali Kua kuko na shida ktk uongozi!

Lkn Mara nyingi nimekua nikiroroma hapa na kuwambieni ukweli Lkn hua mnabisha! Sasa nazani mmeanza kujionea wenyewe!
Mkuu katika mpira, kila mara timu inaposhindwa huwa ni tatizo la management kuanzia kwenye bodi mpaka kwa manager na timu yake ya management. Cha muhimu ni njia inayotumika katika kutatua tatizo. Ndiyo maana timu yako huwa inafukuza manager kwa sababu hiyo ndiyo style yake katika kupambana na tatizo. Sisi kama Arsenal tunaangalia mpira katika angle nyingine, ndiyo maana hatufukuzi manager ili kutatua tatizo la kushindwa mechi kadhaa na kikubwa kabisa, matatizo ya kufungwa mechi kadhaa kati ya timu na timu ni tofauti.
 
December mlikua moto sn mpk mkaanza na nyie kutangaza kutwaa ubingwa msimu huu!

Nataka nikwambie sasa! Ili niwe bingwa lazima zile timu tunazogombania nao ubingwa nizifunge!

Nimechukua point 6 Kwa Man City

Point 4 Kwa Arsenal

Point 4 Kwa Man Utd

Point 4 Kwa Spurs

Liverpool point 3.

Adui yng mkubwa Kwa sasa na nguvu nyingi naelekeza Kwa kila game na kwako wewe Liverpool

No way...Liverpool FC hatushikiki mkuu!
Na siku nikitua hapo Anfield hao kina Suarez, Sturidge, Cotinho, Stearling, Aleyn, Lucas yani huto waona kabisa uwanjani! Ulikuja kwangu darajani December unakumbuka nilivyokupiga? Na uikumbuke game Yangu ya Man City nilivyompiga!
No way...Liverpool FC hatushikiki mkuu.
 
kuna watu walisema hapa hii MARCH Arsenal mna kibarua kigumu lakini kama kawaida ya GOONERS wana memory fupi sana so far:

stoke 1-0 arsenal
arsenal 4-1 everton[fa cup]
bayern 1-1 arsenal
tottenham 0-1 arsenal
chelsea 6-0 arsenal

3 points out of 9 hardly a championship form.

next swansea then man city in a week.
 
TANGAZO:ARSENAL FM wamebadilisha frequency zao na sasa wanapatikana katika masafa ya 86.6FM TAFADHALI UKISIKIA TANGAZO HILI MFAHAMISHE MWENZIO

ARSENE WENGER
ARSENAL MANAGER
.
 
Asante Mkuu!

Bouncing back mtaifanya Kwa City na Everton na hao mnaogombania top four Lkn sio Mimi bingwa! Nimeshamaliza biashara na wewe kz iliyo mbele yng ni kuipiga Liverpool pale Anfield tu!

Let's see next season dude!

kumbe mshakuwa mabingwa!
 
Ndugu zangu kama tutaendelea kuwa na Wenger tuendelee kukubali tu haya yanayotokea..mwacheni aende hana jipya.
 
Mbu napita tu...nilikuwepo!! umeamka saa 6 leo???hihiiiiii
 
Last edited by a moderator:
Dah dah dah Janjaweed hebu nikumbushe first leg yetu na Liver ilikuwaje? Mbona kutafuta kujiaibisha mwenyewe mkuu?

Si ninyi mliosema Chelsea haina wachezaji wa kumfunga Arsenal leo? Si ninyi mliosema Chelsea haina wachezaji wa kumfunga Man city....haya bana vyenu vidole kubofya...sie mpira tu...!!!
tulipigwa 2-1 tukiwa na wakubwa nje... Gerro, Sturridge, Johnson, Agger, etc

Tena mlitumia ile mbinu ya faulo za kimyakimya, siku hizi hizo hakuna... mtapigwa tu

kuhusu kusema hamna timu ya kimfunga asenane, mkuu naomba uonyeshe wapi nimesema... maana huwa sicooment sana kuhusu soka hasa kwenye thread zenu
 
December mlikua moto sn mpk mkaanza na nyie kutangaza kutwaa ubingwa msimu huu!

Nataka nikwambie sasa! Ili niwe bingwa lazima zile timu tunazogombania nao ubingwa nizifunge!

Nimechukua point 6 Kwa Man City

Point 4 Kwa Arsenal

Point 4 Kwa Man Utd

Point 4 Kwa Spurs

Liverpool point 3.

Adui yng mkubwa Kwa sasa na nguvu nyingi naelekeza Kwa kila game na kwako wewe Liverpool

Na siku nikitua hapo Anfield hao kina Suarez, Sturidge, Cotinho, Stearling, Aleyn, Lucas yani huto waona kabisa uwanjani! Ulikuja kwangu darajani December unakumbuka nilivyokupiga? Na uikumbuke game Yangu ya Man City nilivyompiga!

Manure na spurs waondoe... hao ni mediocre teams
 
Back
Top Bottom