rubaman
JF-Expert Member
- Sep 10, 2011
- 4,983
- 3,084
Arsenal kwa kulalamika hamjambo,
Mna kiusemi chenu ' tuna majeruhi wengi sana'
Hata mngekuwa nyinyi (sijui timu gani) mngelalamika kwa kazi aliyofanya refa... Anyway, UEFA wanajua kuweka marefa wao kwa malengo yao. Robben alitakiwa apewe kadi ya njano alipo dive mara ya kwanza na kama refa angekuwa macho angesingetoa penati.