Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hahahaha UTD hamna cha kutucheka msimu huu na mnaweza kuwa katika hii coma msimu ujao vile vile. Kumbuka Olympiacos wanakuja kuwasha moto Olf Trafford next week. Ebana umesikia the Glazers wanavyoanza kuuza vipande vipande? 10% ya UTD imeshauzwa, muda si mrefu UTD itageuka kama ule mchezo wa mzee Jangala na mzee Kagunga

Sisi matatizo yetu tunayakubali na tutayatatua kabla ya msihuu kuisha ...msimu ujao ukianza normal service will be resumed.
Yeah nimeona kuhusu Glazer ila mpaka sasa hakuna tatizo kwa upande wa club kuhusu hatua waliyochukua
 
Sisi matatizo yetu tunayakubali na tutayatatua kabla ya msihuu kuisha ...msimu ujao ukianza normal service will be resumed.
Yeah nimeona kuhusu Glazer ila mpaka sasa hakuna tatizo kwa upande wa club kuhusu hatua waliyochukua

Normal Service under Moyes itakuwa poa..
 
Things goes on Gunners no need to look back tusonge mbele sasa tukapambane kwenye EPL na FA.
 
Milan inahitaji kujengwa upya,then Atlético wako vizuri kwa sasa hata hao Bayern akikutana nao anaweza akafungishwa virago.Arsenal wa kujilaumu wenyewe mimi sijaona uzuri wowote wa Bayern kwenye game zote mbili

kweli,ngoja manure ipite ikutane na bayern km hamjala wiki kama barcelona
 
Poleni majirani...! Poleni sana....


From jimbo la Kalenga,
Mentor.
 
duh

article-0-1C3389B200000578-890_634x446.jpg
 
Kuna haja ya idara ya utabibu ichunguzwe. Kwanin kila siku ni wachezaji wa asnal ndo wanaumwa tena kwa mda mrefu? Na hata wakipona hawakai mda mrefu wanaumia tena? Je matibabu wanayopata ni hafifu? Ozil tayari wiki 6
 
.....Natuma salamu za jumapili kwa ndugu yangu Shedafa popote pale alipo,
Ujumbe, "dakika tisini ndio mwamuzi wa mwisho!" hehhehe...

COYG!!!...it's a match day Live....
 
Last edited by a moderator:
Wababe wenzio wamekushinda unataka kuonea wanyonge, taratibu unaanza kurejea kwenye nafasi yako, unawapisha wenyewe!. Pole!.

Za j'pili ni nzuri ndugu yangu Mbu, sionekani mashine yangu inasumbua sana hivi nafikiria kununua nyingine. Yaani sina raha nayo tena.
 
Back
Top Bottom