Penaaaaalt
veryyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyy goooooooooooooooooooooooood save from fabiansi
Naona Uefa wamehama Barcelona, wamehamia Bayern
Atletico kampiga AC goli 4....hii ya kwetu kama refa wa 1st leg angekuwa fair basi Buyern alikuwa anaaga mashindano..sio mbaya Gunners always Gunners
Refaaaaaaaa anapendelea Uefa wamemuweka katoka Barca kajia bayern then akatua kwa Podolski lol.Arsenal kwa kulalamika hamjambo,
Mna kiusemi chenu ' tuna majeruhi wengi sana'