Mbu
JF-Expert Member
- Jan 11, 2007
- 12,752
- 7,876
Wababe wenzio wamekushinda unataka kuonea wanyonge, taratibu unaanza kurejea kwenye nafasi yako, unawapisha wenyewe!. Pole!.
Za j'pili ni nzuri ndugu yangu Mbu, sionekani mashine yangu inasumbua sana hivi nafikiria kununua nyingine. Yaani sina raha nayo tena.
......hahahah....
Yamekuwa hayo tena unajiita #Mnyonge ? Hehhheeh
E bana kheri tupu kaka, pole na hayo masahibu yanayokuandama, ni mitihani ya mpito tu...
Nice day bro... 😉))
#MosKwito !