Ntuzu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2013
- 17,418
- 10,877
Si unaona unakodolea mpira wa timu zinazocheza ndinga la uhakika unafikiri hizi ni timu kama ka=timu kako kanakonunua matokeo? Khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Aingie Muller na Kroos wamalize biashara
Aingie Muller na Kroos wamalize biashara
HF...team iko vizuri, shida ni ndogo tu kwamba bado hatujijamini na hatukai na mpira, ule mpira wetu tuliozoea hatujaucheza bado, kama refa hatawabeba hawa mbwaku...basi tuna goli zaidi ya 3 leo...
Ngoja turudi mapumziko mtaona maajabu ya futbo.
Unataka Wenger aanguke tena
ha ha haaaaa, jamaa zako wote wamezima simu saa hii wewe bado unapambana.
Jamaa mbishi Ka roho ya paka!