Sizinga
Platinum Member
- Oct 30, 2007
- 9,519
- 7,287
We wa kusamehewa burehivi na leo gooners wako pungufu?mbona mpira hauvuki mstari wa kati?

wako bize na mechi bhanaa! dkk 33; bay 0 - ars 0.
We wa kusamehewa bure
We wa kusamehewa bure
tupo mbona tunafuatilia mtanange kimya kimya....
ngoja nikalale, nilidhani naangalia mpambano hapa kumbe ni udhalilishaji kwa timu ya Uingereza!
Refa bado hajaanza kubeba mizoga ya Munchen ..... .... .... ..... ... COYG Ox & Giroud wataweka magoli tu .... ....
HF...team iko vizuri, shida ni ndogo tu kwamba bado hatujijamini na hatukai na mpira, ule mpira wetu tuliozoea hatujaucheza bado, kama refa hatawabeba hawa mbwaku...basi tuna goli zaidi ya 3 leo...
Ngoja turudi mapumziko mtaona maajabu ya futbo.