MillionHairs
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 803
- 406
Liwalo na liwe...hii timu (Arsenal) inatutesa sana mashabiki wake. Sijui tutafungwa mangapi,lakini ninachokijua ni kuwa leo ndiyo tunahaga rasmi mashindano haya kwa kutolewa na Bayern Munich. Hutaki Unaacha.