Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Wigan Vs Arsenal nilivyopenda..... Dreams do really come true... Mwaka wetu huu lazima tuwagonge Wigan Semi final...
CC Belo and all big arsenal haters
 
Come on City, hahahaha

hahahaa Come on City lift the PL trophy away of Chelsea!!! Since Arsenal can't win it... Arsenal for the FA Cup... Come on Man Utd lift the 7th place away from whoever...
 
Thanks Gunner.

Bado tuko njiani tukijikongoja kongoja kuelekea jukwaa kuu la Wembley stadium kiliko kikombe cha FA.

Safari bado ni ngumu sana hasa ukichukulia kuwa safari huwa inakuwa ngumu zaidi kadri unavyokaribia mwisho wake.

Wigan ni timu nzuri kama inavyoonyesha kwenye michuano ya Champion nchini ambayo kiuhalisia ni michuano migumu sana nchini, lakini pia ikumbukwe kuwa, timu yetu itakuwa na pressure sana kwenye hiyo match kulinganisha na Wigan kutokana na historia za kishindani nchini.

Kufikia tarehe 12th April. Tutakuwa tayari tumeishapata mwerekeo halisi wa timu yetu katika mashindano yote.

We have more at stake than Wigan. Wigan is going to Wimbley on 12th April for the semi-final fixture with pride while We are going to Wembley with pressure.

Match kama hizi huwezi hata kutabiri/kufahamu kwa ukaribu matokeo kwa sababu inategemea na mazingira ya timu siku ya match.

Ninachoomba tarehe 12 april ifike huku wachezaji wakiwa hawana majeruhi.

Anything can happen!.

Once a Gunner, Always a Gunner.
 
Point 4 unafikiri mchezo? Hizo ndoto Mkuu! Ata Ndg yng Ng'wamapalala hawezi kuota namna Hiyo Zaidi atajivunia Kua na mashabiki wengi mpk china!
Wewe ndugu yangu Ntuzu wakati mwingine nikisoma post zako huwa nina furahi na kucheka.

Nikiangalia points, mechi ulizobaki nazo, kikosi cha wachezaji na timu ambazo utacheza nazo, ni kweli kuwa una uwezekano wa kuchukua ubingwa. Hata hivyo, katika mpira kila kitu kinawezekana. Hii ya kila kitu kinawezekana ndiyo hufanya mpira kuwa na wapenzi na mashabiki katika kila timu ya mpira.

Kabla ya mechi ya FA CUP kati ya wanunuzi wa vikombe (Man City) na Wigan, ninaamini kama ungeuliza watu, basi ungepata watu wachache sana wanaosema Wigan ingeshinda.

Ndugu yangu kila kitu kinawezekana nani vizuri zaidi tukasubiri angalau mechi za tano za mwisho.
 
Last edited by a moderator:

Kufurahi ndio vzr ndugu! Maana Km timu hazifanyi vzr na kwenye mijadala Km humu na kwenyewe tukose raha? Inakua noma Mkuu!

Mkuu wigo Wa point 4 Ni mkubwa sn na Wewe mwenyewe umekubali kutokana na kikosi changu na ratiba jinsi ilivyo Umeona kabisa Kua naweza Kua Bingwa! Na Mimi kutokana na huo mtazamo wako ndio ata Mimi nikiangalia napata nguvu ya kusema Kua Mimi Bingwa!
 
Last edited by a moderator:
haya aresenal kombe lenu hilo fa,ongezeni juhudi mchukue!!!! timu ngumu mliobaki nayo moja tu hapo(wigan) mkilikosa na hili msimtafute mchawi
 
Wigan Vs Arsenal nilivyopenda..... Dreams do really come true... Mwaka wetu huu lazima tuwagonge Wigan Semi final...
CC Belo and all big arsenal haters

You said the same against Birmingham City. We all know what happened. The Specialists, hahahaha.
 
Kufurahi ndio vzr ndugu! Maana Km timu hazifanyi vzr na kwenye mijadala Km humu na kwenyewe tukose raha? Inakua noma Mkuu!

Mkuu wigo Wa point 4 Ni mkubwa sn na Wewe mwenyewe umekubali kutokana na kikosi changu na ratiba jinsi ilivyo Umeona kabisa Kua naweza Kua Bingwa! Na Mimi kutokana na huo mtazamo wako ndio ata Mimi nikiangalia napata nguvu ya kusema Kua Mimi Bingwa!
Huezi kuchukua Ndoo la EPL bhana...na hilo liko wazi!! Viporo kibao tunakuja huko Juu.
COYG
 
haya aresenal kombe lenu hilo fa,ongezeni juhudi mchukue!!!! timu ngumu mliobaki nayo moja tu hapo(wigan) mkilikosa na hili msimtafute mchawi
Kwakuwa Wigan kampiga City eeh?(May be correct). Unajua hili kombe la FA bhana lina maajbau sana. Hhuwa team kubwa nyingi zinapotea kabisa, ngoja tuone mwaka huu itakuaje. Kama unakumbuka vizuri Carling Cup la mwaka 2011Arssenal aliingia Fainali na Birmingham City, tukafungwa 2-1 goli la dk za mwisho beki wetu alijichanganya na kipa Martins akatuua, nakumbuka Wilshere alilia sana after a match.

Anyway mi niseme tu kwa kombe hili la FA mwaka huu Arsenal ana uwanja mpana sana wa kubeba ndoo...so Wenger deserve to win. Asipoweza kuchukua hili NDOO mi naomba nipumzike kwa muda na Wenger aachaie ngazi. We are fed-up of HIM.
 
hahahah kweli mkuu msipokuwa makini wigan anaweza kuwastaajabisha hata nyie kama sijakosea nahisi mechi ya nusu fainali huwa zinachezwa home na away si ndio???
 
Yap ni two legs mkuu...itakuwa tamu sana.
 
semi-final ya FA ni mechi moja inachezwa WEMBLEY.
oohh kumbe ahsante kwa kunikumbusha bai nilichangayana na carling,anyway bado hiyo mechi ngumu kwa arsenal hasa ukiiangalia wigana im sure watakuwa wamepata morali baada ya kuifunga city ingwaje arsenal anaognoza katika kura za kushinda nampa 60 kwa 40.
 
You said the same against Birmingham City. We all know what happened. The Specialists, hahahaha.

I'm joking .It's only semi final hakuna mechi rahisi.., lakini niliwish Wigan wamuondoe City na imetokea.... Hadi mechi iishe huwezi jua mshindi.
 
Back
Top Bottom