Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kwani ilikuwaje jamani mi sijui kitu nimeshngaa jana nafungua tv naona Bayern wanapasiana tu pasi hadi 1,200 kwa dakika kama 20 hv wakati wenzao Arsenal hawajagusa mpira.
 

nipe tafsiri ya neno Miujiza!
Kwenye mpira lolote linawezekana hakuna hicho unachokisema,
miujiza kwani inafufuliwa misukule pale?
 
Bayern wamemtoa Mandzukic kaingia Mueller,baadae kaingia Pizzaro,Schwensteigger yuko benchi hana nafasi....sasa Arsenal wakimtoa Sanogo anaingia nani?Bendtner au Giroud?? MAJANGA!!!

bange mbaya!sasa sanogo hìi ni mech ya ngapi kucheza?na kabla ya hapo alikuwa anacheza nani?na hao mabwana zako wa bayern walivyopigwa 2 kwa 0 pale arianz arena nani alikuwa CF?
#tEAMMIKURUPUKO
 
nipe tafsiri ya neno Miujiza!
Kwenye mpira lolote linawezekana hakuna hicho unachokisema,
miujiza kwani inafufuliwa misukule pale?
jambo lililo taabu kueleweka na kuaminika, lakini limetokea. Yesu alifufua wafu, watu wanafukuliwa baada ya hata wiki kwenye vifusi vya matetemeko, golikipa anapoga goal-kick inayoingia moj. Kwa moja golini (Omar Mahadhi aliwahi kuwafunga Wahabeshi akiwa na Taifa Stars, zama hizo ikaamuliwa kuwa kona, nayo ikazaa bao!). Ili iwe miujiza, ni lazima itokee, ni lazima iwe imewezekana.
 

Jikite kwenye mada acha longolongo....! maajabu ni kuwa Waendeshaji wa mpira Ulaya ...hasa waratibu wa UEFA champions league ambao walikuwa wanaaminiwa kwa uweledi wa kiwanamichezo wameingia kwenye kashfa nzito ya kupanga matokeo ya timu kwa kutumia marefarii wazembe...mfano mechi ya Arsenal vs Bayern, Man City vs Barca.

Ni maajabu maana haikudhaniwa hapo kabla...ila imewezekana kufanyika
 

kwa hiyo arsenal kumfunga bayern sawa na mtu aliyekufa kufufuka!duh
soka halipo hivyo mkuu,tumeshuhudia mengi sana ktk soka na sijawah kufikiria kuita miujiza,
wigan kuchukua fa mbele ya man city,
as cannes timu ya daraja la nne kuzipiga st etienne na mountpiler za ligi kuu,
arsenal yenye vijana wengi kuifunga madrid bernebeu iliyosheheni wachezaji mahili zidane,ronaldo,carlos,makelele ,n.k
soka halina miujiza ni mchezo wa makosa tu,ukikosea unafungwa
 
Kwa tafsiri yakohiyo, neno miujiza halipo popote, sio kwenye soka tu.
 
Hii ni Special Arsenal thread, mada kuu ni Arsenal. Hiyo mada unayoisema wewe s msingi wa uzi huu. Hayo mengine yote ni maoni yako binafsi ambayo si lazima yawe ndio ukweli wenyewe.
 




Vijana wapo Down but not out ..... .... .... ....
 









Concern: Arjen Robben taps Bacary Sagna on the back










Falling down: The unidentified liquid leaves Robben and heads in Sagna's general direction





Missile: Moisture falls from Robben onto Sagna but shots reveal it was sweat and not saliva













Eyes on the ball: Robben collects a high ball in the Gunners box as Szczesny stands his ground













Fou'? It looked like Szczesny clatters into Robben's standing leg taking him down









Crunch time: The duo collide, with referee Nicola Rizzoli awarding a penalty and sending the Pole off









Airborne: Robben sails through the London skies after his collision with a stunned Szczesny











There may be trouble ahead: Robben cries out upon hitting the plush Emirates turf​
 
Reactions: Mbu
Nafahamu wapinzani hawapendi lakini ukweli wa mambo 11 against 11 Munchen walikuwa hoi ........ ...... kitu ambacho wapenzi wa Gunners tunalaumu ni super star Ozil kupiga penalty wakati keshapoteza penalty lukuki huko nyuma ..... ..... ..... anyway thats the game, Munchen nao vile vile walikosa tutegemee mengi return leg. COYG
 

......yeah man, #TogetherWeStand !
It's only the 1st 90s of the 180 minutes za last 16/2....

Hawa wetu kabisa, 11 against 11 mjini Munchen ama zetu ama zao!
#COYG !!!


#MosKwito !
 
What a superb perfomance from bayern,wanapiga mipira mifupi mifupi na ya haraka mno,kiukweli hapa hata barca hatii mguu kwa pasi hizi fupi na za haraka kiasi hiki wameweka historia bayern leo jumla ya pasi 791 wamepiga dhidi ya arsenal.

Inaonyesha jinsi ulivyo mtupu kuhusu soka linavyochezwa.
 
Ha ha haaaa, kuna mtu bado ana matumaini atashinda pale alianz arena....
bayern wamemtoa mandzukic kaingia mueller,baadae kaingia pizzaro,schwensteigger yuko benchi hana nafasi....sasa arsenal wakimtoa sanogo anaingia nani?bendtner au giroud?? Majanga!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…