Richard
Platinum Member
- Oct 23, 2006
- 16,637
- 25,618
Dawa ilobaki ni kwa Arsenal kupakia basi kama zinavofanya timu zingine zinapokuwa na watu 10.
Ila Bayern nao wana wachezaji wawili wenye kadi za njano ambao ni Jerome Boateng na Mario Mandzukic.
Arsenal kipindi cha pili watacheza mtindo wa 4-5-1 na Yaya Sanogo atakuwa mbele peke yake ingawa Olovier Giroud anaweza kuingia mwishoni mwa kipindi cha pili.
Bayern wao watakuwa wakimshughulisha Nacho Monreal na hasa Robben na Lahm ingawa Mario Gotze na Mandzukic watakuwa wakijaribu kupokea vyumba kutoka kwa Thiago au Kroos na hasa mipira mirefu.
Twaviamini vitasa viwili pale nyuma Mertesacker na Coscielny.