Ingawaje sio mtu wa kubet nimeanza kumfuatilia msimu huu. Sometimes naona anapatia mshindi ila score line ndo inakuja ovyo.
Watu wengi wanamsifia ila mie namuona mzushi anaenda na kitu mtu sana unaona kweli hii inashinda ila sivyo subiri EPL uone atavyoweka then ziweke sehemu jamiiforum na sie tuchague zetu tuone yeye au sie tutapatia? Ijumaa wakiweka ziweke then ni Tag.