Sizinga
Platinum Member
- Oct 30, 2007
- 9,519
- 7,287
Alifanyaje mkuu kilichokuchukiza wakati game tulishinda..?Kuhusu kesho hilo halina ubishi!!
Ila alichotufanyia H Webb juzi kilinichefua mno,, yani namchukia kama M.vi????!!
Alifanyaje mkuu kilichokuchukiza wakati game tulishinda..?Kuhusu kesho hilo halina ubishi!!
Ila alichotufanyia H Webb juzi kilinichefua mno,, yani namchukia kama M.vi????!!
Alifanyaje mkuu kilichokuchukiza wakati game tulishinda..?
Hakika wale tuliwakamata hata kama Webb aliwabeba!!Kwanza Penalti aliyowapa ilikuwa si halali!
Pili tulifunga goli halali kabisa akalikataa....hivyo ubao ungesoma 3-0,
Tatu alitunyima penalti pale Carzola alipowekewa mguu kwa makusudi ndani ya 18!!?
Na mengine mengi tu,
Nani asiyejua kuwa Webb ni shabiki wa Man U ??!
....hahhahha, mbona hongera yenyewe ya #shingoUpande banaa,...
Mtabakia hivyo hivyo na "ngojeni game inayokuja...!" Msimu nao huo unayoyoma...
#MosQw !to.
Dhahama ipi tena....na tumefanikiwa kuziepuka za Tottenham na Liverpool??
Dhahama hii....
![]()
Mkuu, furaha ya muda mfupi ndiyo inayotufanya watu/washabiki tupende football. As we all know, football is an emotion game kwa maana kuwa, kutokufahamu matokeo na kuamini kama kutapatikana ushindi kwa kila mechi ndiyo kunatufanya tuwe na furaha kabla ya game na pale tunaposhindwa, tunatoka na huzuni uwanjani.Ng'wamapalala
Furaha ya gunners ni ya muda sana. hata kombe la mbuzi mkishindania hamna uhakika kulishinda. Msimu huu ni same silly season. natamani niweke notification somewhere ili mwishoni mwa May nikukumbushe jinsi Arsenal itavyokuwa uchi.
Naongelea dhahama ya kesho arifu....
Kwa upande mwingine, kwani nyiye ni EPL title contenders ama pretenders?
namkumbuka BO.LO YEONG kwenye 'BLOOD SPORT' alisema "you are next".............
...hehhe, #Uswazi unajibiwa "Utajiju!"
msikizeni Mourinho, yeye anasema EPL ina
1st. Two horse Race, #ManCity na #Arsenal (Stallions hao...)
3rd...One small horse...#Chelsea
4th kuna... Chihuahua...#Liverpool
kisha
7th. kuna #PundaKirongwe ....#ManUnited !
[/QUOT
tehtehtehtehtehtehtehteeeeeehh!
hiyo 7th imeniacha hooi.