Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

1911627_581839308565069_724828156_n.jpg



1506525_695221947203390_791296521_n.jpg
 
Nimerudi mkuu...! Salama huku kwenu? Hongereni kwa jana...

Huku ni salama mkuu naona mkuu Ntunzu alisahau kukupa matokeo, but ni kwamba Chelsea alishinda 2 bila na Hazard alikuwa man of the match with a lot of shots on Target.
 
Thanks Gunners. ukwelikitugani njoo huku haraka!

Unakumbuka hili bandiko lako,

Na mimi nilikuambia hivi.

What happened!.

Ninatumaini uli bet na sasa unahesabu pounds kama nilivyokupa ushauri.

what a match gunner!. Acha nielekee kwenye Pub kupata zaidi baada ya betting yangu kuzaa jike.

Once a Gunner, Always a Gunner.
Ng'wamapalala
Furaha ya gunners ni ya muda sana. hata kombe la mbuzi mkishindania hamna uhakika kulishinda. Msimu huu ni same silly season. natamani niweke notification somewhere ili mwishoni mwa May nikukumbushe jinsi Arsenal itavyokuwa uchi.
 
Inasemekana game zote saba alizochezesha huyu jamaa Webb Liverpool haijashinda hata moja...!!
 
Hiki kitu gani hiki...Webb iwaje ana bichwa kubwa unproportional na shingo yake? Hii peleka Manure

Kuhusu kesho hilo halina ubishi!!
Ila alichotufanyia H Webb juzi kilinichefua mno,, yani namchukia kama M.vi????!!
 
Back
Top Bottom