Wandugu Masanja
JF-Expert Member
- Apr 26, 2008
- 1,584
- 553
Huyo Sanogo ni wa taifa lipi?
Ufaransa bwana kwani humjui Wenger bwana
Huyo Sanogo ni wa taifa lipi?
Ongereni Asernal Mshindwe Tena Kuchua FA
Keep it up,mwomba njaa hachoki!Hongera kwa ushindi....ila nawaonea huruma dhahama inayokuja...
Na mimi nilikuambia hivi.Ng'wamapalala,
Unajilisha upepo my friend. Sunday mnachezea kichapo tena.
What happened!.My friend, let me tell you something. Haijawani kunitokea tukapoteza mechi katika maisha yangu yote ambayo nimebahatika kupata ticket ya kuona mechi kwenye uwanja wa nyumbani (Highbury and Emirates)
Kwa vile nimepata tena ticket ya mechi ya sunday, ndiyo maana nimesema hivyo na nitakukumbusha tena Jumapili hapa hapa kwenye kijiwe chetu.
You can take a bet at any betting shop!. Pesa yako haitapotea.
Hongera kwa ushindi....ila nawaonea huruma dhahama inayokuja...
Rubaman mara nyingi Lawro anakosea usimfuate kama ni mtu wa Betting! Utaumia jamaa kwanza hajui ndomana hata result anaandika 2-1 au 1-1 huoni kuweka 4-1 au 3-2 na sana anaenda na home teams mara chache huchagua Away nyingi.