Wakuu leo ndio leo asemaye kesho mwongo come on you Loserfools ndani ya Emirates ..... .... .... .
Natabiri Liverpool atashinda 3-1..Wewe je?
Arsenal leo una wakati mgumu maana sidhani kama una kikosi imara na chenye nguvu leo kushindana na Liverpool..!!
Leo sikupi kete mbele ya Suarez na Sturridge.....Polee
Aisee kumbe kuna watu wana akili sana yaani failure alipwe £8million kwa mwaka wakati kuna wale wanaojiita sio failures wanalipwa pesa kiduchu ....... ...... ....... safi sana COYG.
BTW naona Failure maana yake ibadilishwe kwenye kamusi tutumie kamusi ya Morinyo na makuwadi wake wa Manure
Arsene Wenger = Failure (8 trophyless seasons)
That's a simple Math equation
Wakuu mpo.
Naona draw ya robo fainali inafanyika muda si mrefu.
Na Arsenal leo wanaanza na Yaya Sanogo mbele huku Mathieu Flamini akiziba pale kati.
Giroud na Cazorla wanapumzika.
Arsenal starting X1
Kipa -Fabianski walinzi- Jenkinson, Koscielny, Mertesacker, Monreal, kati kuna Flamini, Arteta, Oxlade-Chamberlain, pembeni kulia Ozil, pembeni kushoto Podolski, na mbele kuna Yaya Sanogo kama mshambuliaji.
upo nafasi ya ngapi mkuu?
FA je?
CAPITAL 1?
Nafasi ya 7 katika EPL. FA na LC sipo.
Lakini hilo haliondoi ukweli kwamba Arsene Wenger ni specialist in failure. To put it more clearer, Wenger is a Professsor of Failureology.
Wanna more credentials on Wenger's specialisation? Just visit Nobel Prize's websites, as Wenger is amongst the shortlisted candidates for next year's prize.