Mvina
JF-Expert Member
- Aug 2, 2009
- 997
- 34
Tupo mkuu
Hongereni watani naona ndo mambo kimya kimya siyo wakuu!
Tupo mkuu
Hongereni watani naona ndo mambo kimya kimya siyo wakuu!
Yeah,sasa hivi ni mwendo wa kimya kimya tu,Jumatano ijayo(tarehe 6 January) tuna mechi ya kiporo Emirates na Bolton,hope tutawakandamiza hawa jamaa na kuwa juu ya Manure kwa pointi moja..Sema Bolton hawatabiriki tunapocheza nao
Wapenzi tungependa kuona Wenger akichezesha strongest side kwenye hii mechi kwani tunahitaji kushinda kikombe walau kimoja mwaka huu, lakini yeye Wenger ana mawazo mengine, yeye macho yake yote inaonekana yako kwenye Ligi. Amesema:"Yes I will rotate," said Wenger. "We had a few players who played on the edge the other night (against Portsmouth) and I will try not to take too big a risk for some players who are medically vulnerable at the moment, and protect one or two more. But we will have just as strong a side as we had at Portsmouth.
"We have a big test with Senderos, he could be back. He has had an inflammation under his foot and every time he started to play the pain came back. That's why I am a bit cautious but he will have a definite test and we will see how he responds to that.
"He is physically very sharp because he has worked a lot with our fitness coach (Tony Colbert). I just want to see now how he responds in training. I don't know yet, it is too early. I still have 48 hours to decide," Wenger told the club's official website.
Kuhusu January transfer bosi amesema atanunua. Zipo £35Millions kwa ajili ya transfer lakini kwa AW anaona kama hii hela anaitoa mfukoni mwake? Mechi nyingi bado zimebaki, tunajua RVP hachezi tena msimu huu na Bendtner nae atachelewa sio January kama ilivyokisiwa so kwa hio lazima tuongeze nguvu pale mbele. Iwapo ataumia Arshavin ama Eduardo itakuwaje?"We want to win, but we want to protect our home games against Bolton and Everton as well, to keep the momentum going.
"The Premier League is always more important [than the FA Cup], but, in the eyes of the fans, we are looking for trophies.
"However, the Premier League is so hard that you want to take care of your position.
"Two years ago we had a very good chance [at the title], and we were not far away. At the moment we have to keep our spirit and out attitude, then we have a chance.
Na mwisho kulikuwa na rumours leo kuhusu Huntelaar na Charmak lakini Mzee Wenger ameshakanusha, kuhusu Chamakh amesema:Robin Van Persie and Bendtner contributed to many of the 51 goals we scored,
Wenger said. They were both in outstanding form and we miss them
But on the other hand we have played 19 games and if you multiply 51 by two it is
over 100 goals for the season.
That is absolutely tremendous and people dont realise how efficient we are going forward.
I can understand that people are scared because we are short up front.
I dont deny that, but I always hoped for a long time that Bendtner would be available at the beginning of January but that is not the case now. So we have to look somewhere.
Kuhusu Hunterlaar amesema:"Chamakh is in the Champions League with Bordeaux and at the top of their league, so he will not move now," said Wenger.
Heri za mwaka mpya kwa wote."I don't believe that this kind of player can move, why? because I'm not sure he can move again in this transfer period, because he has moved already once this season so. I'm surprised that he has hardly plays, but he's not on our radar"
Yeah,sasa hivi ni mwendo wa kimya kimya tu,Jumatano ijayo(tarehe 6 January) tuna mechi ya kiporo Emirates na Bolton,hope tutawakandamiza hawa jamaa na kuwa juu ya Manure kwa pointi moja..Sema Bolton hawatabiriki tunapocheza nao