Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,484
- 4,821
Hapo tupo ukurasa mmoja.....Ni #Mburukenge na #Uliyevurugwa ......kama kwako si matusi sawa nimekuelewa wewe Mburukenge uliye vurugwa...
sikuwa na nia mbaya kupost ile picha...lakini reaction yenu ilikuwa so negative with provocative terms and insults...its okay..unafiki mmbaya sana huyu balantanda anasignature nzuri ya regia mtema lakini haifanyii kazi na kuanza kuni attack personally....na ww hata kama ni liverpool....
Hapo tupo ukurasa mmoja.....Ni #Mburukenge na #Uliyevurugwa ......
Kwa wenyeji wa hapa maneno yetu tunaanza na Hashtag.....
Hope Mbu na Nzi watakupa somo vizuri
Hivi kuna insult yoyote kwenye post hii niliyokujibu baada ya wewe kuniquote?...sikuwa na nia mbaya kupost ile picha...lakini reaction yenu ilikuwa so negative with provocative terms and insults...its okay..unafiki mmbaya sana huyu balantanda anasignature nzuri ya regia mtema lakini haifanyii kazi na kuanza kuni attack personally....na ww hata kama ni liverpool....
#Unaboa Chifu.....
Nani kazungumzia title?....
Ushawahi kuona Bala kazungumzia suala la Ubingwa?....
Acha kuniquote na upuuzi wako huu....
Bala.
Sasa umenikosoa,kunirekebisha na kuniwajibisha kwa lipi kwenye Post yako hii hapa chini uliyoniquote?......Lengo lako lilikuwa ni lipi hasa?"Tukosoane, turekebishane, tuwajibishane ndipo tusameheane" Regia Mtema.
#WatasemaSana ....
Together We Stand...
Hongera zenu Liverpool.....
Mlistahili ushindi Leo.....Mlikuwa bora zaidi yetu....
COYG...
Hahaaaaa #Msiba #Msibani bro......#Rossoneri wangeshinda na #ManShitty wangeshinda jana Mpemba Abdulhalim na ndetichia wasingebanduka hapa.....#Rossoneri Abdulhalim angeshinda jana Naples huenda nae angekuja kutuamkua huku... Ila dahh...
Jana #Msiba tu!
this what i meant comrade...kama uliona nimekosea kwenye kupost ile pic(that's my thing and my signature says so), ungenikosoa kistaarabu,ukanirekebisha kistaarabu,nami ningewajibika kistaarabu mwisho wa siku we part our ways peacefully...tatizo you expose philosophy you dont practice...nilitegemea vile ungefuata quote ya regia na misingi yake...incontrary you ended up attacking me furiously...I UNDERSTAND HOW Painfully it is for such massive ass whooping...but be a gentleman,,,Najaribu kuconnect dots wee.....Lakini #Sikuelewi
Sasa hii ya #Signature yangu inahusiana vipi na post y(z)ako?.... "Tukosoane, turekebishane, tuwajibishane ndipo tusameheane" Regia Mtema.
#Kick????
.....#Rossoneri Abdulhalim angeshinda jana Naples huenda nae angekuja kutuamkua huku... Ila dahh...
Jana #Msiba tu!
Wadanganyika bwana kwa kujifariji...Hahaaaaa #Msiba #Msibani bro......#Rossoneri wangeshinda na #ManShitty wangeshinda jana Mpemba Abdulhalim na ndetichia wasingebanduka hapa
Gotcha.....this what i meant comrade...kama uliona nimekosea kwenye kupost ile pic(that's my thing and my signature says so), ungenikosoa kistaarabu,ukanirekebisha kistaarabu,nami ningewajibika kistaarabu mwisho wa siku we part our ways peacefully...tatizo you expose philosophy you dont practice...nilitegemea vile ungefuata quote ya regia na misingi yake...incontrary you ended up attacking me furiously...I UNDERSTAND HOW Painfully it is for such massive ass whooping...but be a gentleman,,,
now you come up with other other allegations...et kick..... you serious bro....why you want to take it further...kick for what...with our fake ids....
#Unaboa Chifu.....
Nani kazungumzia title?....
Ushawahi kuona Bala kazungumzia suala la Ubingwa?....
Acha kuniquote na upuuzi wako huu....
Bala.
Hahaaaaaa...........#Msiba #Msiba ni #Mpemba .....Wadanganyika bwana kwa kujifariji...
Wadanganyika bwana kwa kujifariji...
Ok, leo mmepata la kusema.. hongereni kwa kujilinganisha na Rosso.......hahahhhahaaaa!!!
Umekuja mbio! Karibu bro, hakuna wa kumcheka mwenzie wikiendi hii!
MozQwito!
you can diverge the reality..but the truth triumph...you know it I know it....and you previously admitted...Gotcha.....
Ukwli ni kwamba I am a die hard Arsenal Fan....Kama ni pain nilishaipata tulipofungwa 8 na Man Utd....Kufungwa 5 ndo niumie Chifu?, Kama sikuumia tulipofungwa 6 na Man Shitty ndo niumie kufungwa 5 na Kops?....Nah
Sasa ulitaka nikucorrect vipi Mkuu wangu....Sina uhakika kama hii hapa chini ni Personal attack...
Btw....Balantanda (kifupi Bala) is my real Sukuma name.......So sina fake ID hapa JF kama unavyodhani...That's me......The Real Balantanda
Baada ya kichapo cha jana. Cjui ndo alikua na mawazo ama sakafu... Hatujui. Ila ilitokea akielekea kupanda tren kutoka Liverpool kwenda LondonView attachment 138084View attachment 138085View attachment 138086View attachment 138087
Proffesor anatia huruma sana