Mndengereko
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 7,307
- 3,416
nilijua nini ktatokea ndo maana sikutaka hata kutabiri yaani siku hizi kutabiri game za man u imewkuwa kazi sana haijalishi yupo home o away.....hehehehh.... Haya bana, #DaudiMuya ana easy fixture leo Craven Cottage kwa aliyekuwa msaidizi wa Fergie, #Meulensteen !
Nini utabiri wako?