#Unaboa Chifu.....
Nani kazungumzia title?....
Ushawahi kuona Bala kazungumzia suala la Ubingwa?....
Acha kuniquote na upuuzi wako huu....
Bala.
Did you know arsenal wamefungwa na wachezaji ambao majina yao yanaanzia na s tu ,sterling,sktrell and sturidge??
......kaka unapoteza bure nguvu zako kuwajibu hawa #Mburukenge ...
Mimi humu nawajibu wale manguli wa majukwaa haya, yaani piga ua hata wakifungwa wao wapo tu wanaugulia na tai zao shingoni....
Nzi, Belo, ndio wanaostahiki kitupiana nao vijembe humu,... Wengine wanapiga kelele tuu humu huwajui hata wanashabikia nini....
Wanna hi 5, chief?
pelegrini-the tactical one
mourinho-the special one
moyes- the choosen one
wenger- five one
....hahaha, umenikumbusha enzi za WAYN, friends Reunited nk hapo kabla ya Facebook!
Ahh, ngoma ilikuwa nzito leo banaa. Hakuna hata la kujitetea.... Kama ingekuwa Uswazi, ningesema jamaa wamepiga mlango jiwe la fatuma kisha baruti halafu mnavamiwa na mapanga Nshaaa migongoni!
kaka imekuwa je? Au mganga Kasema ulikosea kuleta kuku umepeleka wa kijani? Manake siku hizi waganga wa kienyeji matapeli na waganga wa hospital matapeli.
Chifu, gemu nilikua siiangalii. Nimekuja kucheki nakuta 5-1, ikabidi niangue kicheko sana.
Wife ni shabiki wa goon aisee, naye akapokea zomeo lake. Dogo bado hajajua timu ya kushabikia, lakini naye akaungana nami kumpa mama zomeo lake.
Ligi hii, acha kabisa. Shitty kakaziwa na timu aliyoipiga 6 au 7 bila pale Etihad.
Siye tunajikongoja tu. Huwezi jua huko mbeleni, msije mkachinjana, siye tukajichukulia ujiko.
.....hahahha.... Hala hala kaka, mpaka jumatano baada ya mechi usijebaki umenuniwa!
Honestly, game ya jumatano mkitupiga na nyie nitapumzika kidogo jukwaa hili mpaka february iishe.
Miaka yote Arsenal huwa wana nafasi ya kuchukua ubingwa but hawana consistency,
Subiri fixture yao ya February na March ipite ndio utaijua vizuri Arsenal
Kaka hata Man U kuna msimu alikuwa nyuma 9 points na in the end akatwaa ubingwa. Bado Arsenal wana nafasi ya kutwaa ubingwa ukizingatia gap ni only 2 points
oooops............One pointWhich two points are you talking about?
Uko nafasi ya ngapi na timu yak ya kununua waamuzi? BTW Loserfools mwaka huu tumegawana point tu tuliwatungua Emirtes mechi ya kwanza hakuna kilichoharibika hapo, nafasi ya Flamini pale kati ndiyo ilipwaya pamoja na wachezaji kuwa focussed ndio soka hilo wewe uguza majeruhi yako huko kwenye Europa cup ..... .... khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee