As liverpool fan nawapa pole Kama Cuzin zangu nyie ingekuwa wale mashetani sawa Mie najua pain yenu wote tutafika tu msiwasikilize wachawi! Kina Balantanda kina wacha1 na viper poleni ila safari bado ipo na mtafika tu. kazi moja tu mchawi asifike tulipokuwa.
Vijana wa arsenal lazima walikesha disco.tu haiwezekani!? aibu gani hii...ningekua na uhakika wa kupewa hela au madili ningelia kama shabiki wa Yanga alivofanyaga...arsenal kwel mmeniudh leo.. ila ushabiki saingine mzuri hapa kuna mashabiki wa man u mabest zangu wamenikuta sheli hapa wakanijazia mafuta kwenye gari..teh teh nachekea rohoni hapa najisemea hapa ntaomba tuwe tunafungwa niwe nafaid ofa ama vip...