Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Maneno haya ndio yampayo jeuri huyu mzee, sio siri bila striker wa maana hakuna uwezekano wa bingwa na mwaka huu pia.

.....gutted kama wewe, ila kwa mfumo wa team na 'nidhamu' kambini, targets za Arsene zilikuwa ni Kalou na Klose bhaaassss....

Deal/bid zote zime fail, sasa wewe ulitaka iweje nayeye ndiye anayewa manage hawa wachezaji?

Honestly speaking, ulitegemea Arsenal na hii 'flimsy' squad kuwaburuza hawa #Mburukenge tangu msimu uanze?
Au wadhani ni 'ngekewa?' tu?

......Dexter is only 20yrs old, na kila January tunatafuta "Experienced" player wa kusaidia Squad kumalizia league....
Kumbuka #Monreal , #Benayoum , #Sylvestre , #Squillaci ,.....na legendary T14 va-va voom!

Kim ni Experienced Covering player.
Midfield ya Arsenal ndio wafungaji, stay tuned bro.

We'd RVP, lakini hatukuchukua ubingwa sometime tukubali kwamba ushindi wa team unatokana na wachezaji 11 uwanjani,..... (Sio striker pekee!)

Juzi Pensioners Vs Hammers stats zinaonyesha walipata nafasi zaidi ya 139 .... Yes Mia moja Thelathini na tisa hapo wana E'too, Oscar, et al... Lakini hawakuona wavu!

Rooney na RVP ni world top strikers, lakini mwenyewe unaona walipoiweka team yao mpaka sasa...

Sorry kwa maelezo mareeeefu, Keep the faith Gunners!
 
Nikiwa kama FAN's wa Arsenal...nakubali kwa mara ya kwanza tena "This is another trophy-less season"...!! Sitakuja ijutia hii kauli hata kama we can DO better.

......COYG...!!!
Keep the faith!.....kama marathon vile, misimu ya hivi karibuni tumekuwa tuna chase top four pack ( Man U, Chelsea, Man City na Spurs)....from the back!

Mwaka huu tunawaburuza hawa #Mburukenge mpaka wanachanganyikiwa....keep Calm,
Let Man City be a pace-maker for the time being....kama marathon vile...

Keep the faith!
 
Naona mmeshaanza kurushiana mawe,muda si mrefu tutaanza kuwaona #Mburukenge original na #Mburukenge feki
 
Naona mmeshaanza kurushiana mawe,muda si mrefu tutaanza kuwaona Mburukenge original na Mburukenge feki

.......hehhheh,

Kama wewe na Nzi mlivyokimbiwa kule msibani kwenu ee?
#Bundi mnaye mwaka huu....

Moyes alisingizia usajili wa summer, mkamtupia mawe Wood nani yule sijui.... Haya sasa mmempata #Mata , na RvP na Rooney wapo fit.....

Leteni sababu nyingine kwanini msimu huu hamtamaliza nje ya Top Four (Arsenal, Man City, Chelsea na Liverpool)....

.....InterToto Cup inawasubiri!
 
Last edited by a moderator:
We don't want Kim Kallstrom! Arsenal fans hit out at deal for Swedish star

ANGRY Arsenal fans have hit out at Arsene Wenger as he closes in on Kim Kallstrom.

By Jack Wilson/Published 31st January 2014
52ebbe694f5f2_kimkallstrom.jpg

TOO OLD? Arsenal fans have reacted badly to the news of Kim Kallstrom's loan move [GETTY]
Kallstrom, 31, is in London for a medical ahead of a loan move from Spartak Moscow.But the swoop for the midfielder has gone down badly with many Gunners supporters.Kim Kallstrom is now trending in the UK - for the wrong reasons.Arsenal fans have expressed their anger on the site at the decision to move for a player they consider is past his best.
They vent their disgust in four-letter rants with many calling on Wenger to get out the chequebook for a big name.
Kallstrom has lost his place in the Spartak Moscow and Sweden sides and is not considered good enough to inspire a title push.

Why kim kallstrom arsenal? The guy is way past his expiration date
— Musti (@Musti_khader) January 31, 2014

Last time I heard Kim Kallstrom's name was on Fifa04....Wenger why? #AFC
— Remi Martin Eluyefa (@r_miMa_tin) January 31, 2014

So we tried to sign Draxler, and ended up with Kim Kallstrom. FFS WENGER JUST PAY 37 MILLION
— Pavel Sharma (@pavel_sharma) January 31, 2014

would rather have kim kardashian then Kim Kallstrom @Arsenal #AFC
— Olumide#AFC (@fadahunsiolumid) January 31, 2014

Wenger is hit with criticism from many posters, with some even joking they would rather him sign Kim Kardashian!
Kallstrom is better known for his qualities on Championship Manager 10 years ago than on the real pitch.
He was a must-buy for all avid users on the game!
Wenger this morning declared he was 80 per cent sure he would sign a midfielder after a move for Julian Draxler fell through.

We don't want Kim Kallstrom! Arsenal fans hit out at deal for Swedish star | Football | Sport | Daily Star. Simply The Best 7 Days A Week
 
We don't want Kim Kallstrom! Arsenal fans hit out at deal for Swedish star

ANGRY Arsenal fans have hit out at Arsene Wenger as he closes in on Kim Kallstrom.

By Jack Wilson/Published 31st January 2014
52ebbe694f5f2_kimkallstrom.jpg

TOO OLD? Arsenal fans have reacted badly to the news of Kim Kallstrom's loan move [GETTY]
Kallstrom, 31, is in London for a medical ahead of a loan move from Spartak Moscow.But the swoop for the midfielder has gone down badly with many Gunners supporters.Kim Kallstrom is now trending in the UK - for the wrong reasons.Arsenal fans have expressed their anger on the site at the decision to move for a player they consider is past his best.
They vent their disgust in four-letter rants with many calling on Wenger to get out the chequebook for a big name.
Kallstrom has lost his place in the Spartak Moscow and Sweden sides and is not considered good enough to inspire a title push.

Why kim kallstrom arsenal? The guy is way past his expiration date
— Musti (@Musti_khader) January 31, 2014

Last time I heard Kim Kallstrom's name was on Fifa04....Wenger why? #AFC
— Remi Martin Eluyefa (@r_miMa_tin) January 31, 2014

So we tried to sign Draxler, and ended up with Kim Kallstrom. FFS WENGER JUST PAY 37 MILLION
— Pavel Sharma (@pavel_sharma) January 31, 2014

would rather have kim kardashian then Kim Kallstrom @Arsenal #AFC
— Olumide#AFC (@fadahunsiolumid) January 31, 2014

Wenger is hit with criticism from many posters, with some even joking they would rather him sign Kim Kardashian!
Kallstrom is better known for his qualities on Championship Manager 10 years ago than on the real pitch.
He was a must-buy for all avid users on the game!
Wenger this morning declared he was 80 per cent sure he would sign a midfielder after a move for Julian .....

.....blah blah za #MburukengeUnited , Kim is still and far better than FELLAINI 😉))
 
To be honest Wenger alipaswa kusajili striker na kama si striker basi alipaswa kusajili midfilder wa maana walau mwenye umri miaka 25 ili aweze kupambana na katika raundi hii ya pili mtu kama Kim ni ukweli kuwa umri umeenda na sidhani kama ataweza kutusuadia.
But all in all Tuendelee kutegemea kikosi kilekile kilichotufikisha hapa, good news ni kwamb Rosisky is back na Jack anatarajiwa kurudi next game vs Liverpool.
..COYG...
 
......Arsene Wenger knows better kaka,...
Ukiona kwako kwaungua, #TheChosenOne anateketea!
 
.....blah blah za #MburukengeUnited , Kim is still and far better than FELLAINI 😉))

Oh yeah! Way better than Fellaini. If you first headline making in a new club is to be injured and be out for 3 months, then he deserves number 1 spot in front of Fellaini.
 
Mburukenge wanataka kumchagulia prof wachezaji, ajabu na kweli. Hivi wanafikiri analipwa millioni nane na ushee pauni za malkia kwa ngekewa? Tutakomaa na mburukenge tu hadi kieleweke.

BTW vijana walikuwa Colney kama kawa kujiandaa kwa mtanange wa kesho .... ..... ...
 
Shock Return of RVP to Emirates in Summer....!! Hapo vp wazee?
 
Arsenal Vs Crystal Palace-kwa mara ya kwanza walkutana kwenye kombe la FA mwaka 1934/Jan/27 ambapo Arsenal alishinda 7-0. Tkaendeleza wimbi la ushindi mpaka pale mzunguko wa kwanza 2013 ambapo tulimpiga goli 2-0. Ni matumaini yangu kwamba hawa jamaa sio threats tena kwa upande wetu

COYG....Forever
 
Back
Top Bottom