Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Bandugu,

Leteni Mrejesho, Prof. Wenger ameweza kumsainisha dogo kule Ujerumani? Nasikia anataka kumleta Mashine nyingine ya kijerumani (35yrs Old Klose)? Wenger sasa hivi anaaminia sana kuhusu hizi Jerumani mashine!

By the way, tulipotoa droo na SOTON watu wa Chelisii kelele mingi wakasahau kuhusu kucheka mamba kabla ya kuvuka mtu. Big Sam akaleta basi na kulipaki golini kwa SOTON!
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
  • 09:34Ramsey out for 4-6 weeks

    _72645274_020343076-1.jpg

    Arsenal manager Arsene Wenger is currently doing a news conference, where he has confirmed that midfielder Aaron Ramsey has been ruled out for six weeks. As a result, the Gunners boss says he would like to bring in one player during the course of the day - but it won't be Julian Draxler. The Frenchman added that he would like to "scrap" the winter transfer window because 80% of activity tends to happen on the final day.
nukuu:http://www.bbc.com/sport/live/football/25645614
 
Huyu Wenger anapenda kutuweka matumbo juu!!!
 
[h=3]Arsenal update[/h]
_72647476_018244815-1.jpg

"Arsenal are working on a deal to sign Sweden midfielder Kim Kallstrom on loan from Russian club Spartak Moscow until the end of the season
"The vastly-experienced 31-year-old will provide cover for the injured Aaron Ramsey and Jack Wilshere, with Mathieu Flamini suspended for the next three games.
"Arsenal are confident the transfer will be completed by the 23:00 GMT deadline.
"Kallstrom joined Spartak in 2012 following a six-year spell with Lyon, where he played more than 200 games and helped the French side to the Champions League semi-finals in 2012."

source: BBC

kwa anayejuwa anijuulishe
Kwanini media zote zinafuatilia sana usajili wa Arsenal kuliko timu nyengine?
 
kwa anayejuwa anijuulishe
Kwanini media zote zinafuatilia sana usajili wa Arsenal kuliko timu nyengine?

Ndio ina wapenzi wanaonunua Magazeti na kulipia ving'amuzi kwa wingi kama wanavyolipia gharama kubwa kuingia kwenye uwanja wa Emirates Stadium
 
Kim klashroom undegoes medical at asernal on loan..uju jamaa ni mswiden anachezea csk moscow ni midfilder
 
Bila shaka watakua Ozil na Carzola wa Manzese kama ni wale wa Arsenal inaeleweka hawana uweze wa kudefend kama unavyosema otherwise TV unayoangalia inakudanganya

mkuu wewe umequote post ya mdau ambayo jamaa kaandika kuwa "wakati huo huo Ozil na Cazorla ni wazuri tu Offensive game" wewe ukaseme you didn't know that, sasa maybe hiyo statement we umeilewa vip? Maana kwa kuonyesha msisitizo umeimark hiyo statement in red colour.
 
Wakuu Good evening,

Naona mambo ni mazito na AFC inajaribu kila namna kufanya angalau usajili wa wachezaji watatu.

Jioni hii Lazio ya Italy wamekataa dau la Arsenal kumsajili Miroslav Klose kwa mkopo.

Pia Lille ya France nao wamekataa dau la Arsenal la kusajili Salomon Kalou.

Ila mpaka sasa tumempata Kim Kallstrom.

152360277-e1391173149929.jpg

Nipo hapa na nimerejea na tusubiri katika masaa karibia manne yajayo.
 
Pamoja mkuu
 
Lille ya France wamekataa kumruhusu Kalou kutokana na wao kukosa mchezaji wa kuziba nafasi ya Salomon Kalou.

Lazio wao mwanzoni walikataa hata kukaa meza moja na Arsenal kumzungumzia Klose lakini baade wakaonyesha nia ya kufany mazungumzo ingawa dau la pundi za Uingereza milioni 2 zilionekana kutosha kutokana na kwamba Miroslav Klose ana umri wa miaka 35.

Hivyo lolote linaweza kutokea.

Ila Deal la Julian Draxler ni gumu kufanyika kwa wakati huu labda majira ya joto, Alvaro Morata nae anataka awe anacheza first 11 tu na kuna dogo mwingine wa Barcelona aitwae Tello ambae nao Barcelona wanasuasua kukubali kuwaruhusu wachezaji hao.

Juventus nao wamekataa dau la Arsenal la kumchukua Mirko Vucinic kwa mkopo lakini Arsenal bado wanaangalia uwezekano wa kumsajili mshambuliaji huyo kutokana na kwamba Juventus wamemsajili mshambuaji Dani Olsvado kutoka Southampton ya Uingereza ambae ni Mtaliano.

Na mchana huu timu ya Fulham walijaribu kuwapa Arsenal mshambuliaji Dimitar Berbatov lakini Arenal wamekataa na Berbatov anakwenda Monaco.

Na mwisho Arsenal pia mchana huu walimuulizia mshambuliaji wa Fiorentina Juan Cuadrado lakini imekuwa vigumu kutokana na kwamba pia timu ya Udinese nayo ina sehemu ya umiliki wa mchezaji huyo kutoka Colombia.

Hivo tusubiri, lolote linaweza kufanyika na ni masaa matatu yamebaki.
 
Wasiwasi wangu huyu jamaa hatocheza hata game 5. Wamemsajili kunyamazisha ma-supporter. Hata saga la Draxler na vucinic lilikuwa la kuwapa supporters hopes za kuleta watu wakati management ilikuwa haina mpango wa kutumia pesa ikizingatiwa pesa iliyotumika kumleta Ozil ilikuwa ya kufa mtu.
 
Jamaa aliesajiliwa ni jembe la uhakika na anaziba nafasi ya Ramsey ambae ni majeruhi, Thomas Rosicky na kumsaidia Mikael Arteta ambae sasa anaonyesha kuchoka na pia Mathieu Flamini ambae atakosa mechi tatu kutokana na kadi nyekundu alopewa kwenye mechi na Southampton.

Pia anasaidia kuleta uzoefu na ataweza kucheza ligi la mabingwa Ulaya na kutusaidia sana wakati huu wa ligi amao ni mgumu sana.
Kim-Kallstrom-3099522.jpg

Kallstrom akiwa amekwishapiga jezi ya Arsenal jioni hii baada ya kupasi "medical".

Wenger mwenyewe amesema kwamba hawezi kulipa milioni 37 kwa Draxler, mchezaji ambae bado hajathibitisha uwezo wake na labda ni wakati wa majira ya joto.

Mkuu uwe unafuatilia habari hapa usiongee kama umejiunga na Arsenal leo hii.

teh teh teh
 
Acha hizo,jembe la uhakika miaka 31? Career yake ndo ipo katika mteremko kwa hiyo usitegemee mengi toka kwake. Ndo nasema kupata games inaweza kuwa ngumu hasa baada ya kina Jack kurudi.
 
Back
Top Bottom