Richard
Platinum Member
- Oct 23, 2006
- 16,636
- 25,617
Arsenal wamemuulizia Papis Cisse usiku huu na Newcastle wanataka anunuliwe kabisa na sio mkopo.
Wenger afungue tena hundi yake na aandike kiasi kinachohitajika.
Cisse ni mshambuliaji wa maana sana na Arsenal wanatakiwa watoe kama paundi milioni 8 au 9 hivi.
Jioni hii timu ya Trabzonspor ya Uturuki iliweka mezani kiasi cha paundi milioni 9 hivi na Newcastle wakakubali lakini Ppis Cisse amekataa na kusema anapendelea kubaki Uingereza.
Papis Cisse