Arsenal kumaliza top four ni sawa na kuchukua ubingwa,sio bad season
Ni Half Time
Goli ni Arsenal 0 Crystal Palace 0
Arsenal wameshindwa kuifungua ngome ya timu hii.
na hivyo ndivyo inatakiwa, yan asenali wabanwe kabisa wasipumue.
Sawa mkuu.
Chamberlaiiiiiiiiiin
Arsenal 1-0 Up