Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,484
- 4,821
...Clichy, Gibbs, Traore wote majeruhi...kunani beki tatu kule wote majeruhi???
acheni kutuwangia nyieee!
Karibu mkuu..Ulipotea sana aisee..Yupo babu Sylivestre,hope atacheza leo,hukawii kusikia naye kaumia..Anyways,kila la heri Arsenal leo,ushindi ni muhimu sana kwa mechi hii ngumu