Wandugu Masanja
JF-Expert Member
- Apr 26, 2008
- 1,584
- 553
nimerudi nyumbani kwa Mangi hakukaliki na sikutaka wanijue kama mimi Arsenal niliondoka kimya kimya
Wakuu Arsenal leo imecheza kama vile ndio first X1 lakini ni timu ingine kabisa.
Mikael Arteta anatoka na nafasi yake inachukuliwa na Mesut Ozil au Ozila!
4th Round FA cup draw itakuwa lini?
Wathubutu kuja wapi? Waoga tu wale, tukishinda kawaida hawaji kabisa!!!!!!!Wale jamaa hawajaanza kuja humu.
Wachezaji hao uliowataja ni wengi sana, na kama kweli wakinunuliwa hao watatu au wanne wote wawe wa kikosi cha kwanza basi balance ya timu itaondoka!Timu ni nzuri sana tukipata wacheza wengine watatu au wanne kuongeza mbele katika safu zote za mashambulizi na ulinzi na kuomba Mungu kusiwe na majeruhi ya muda mrefu, basi hakuna wa kutusimamisha tutaendelea kuchanja mbuga kama tulivyofanya katika nusu ya kwanza ya msimu.
Game ya leo Theo kaniudhi sana ameikosesha Gunners ushindi mnono .... ...... ... too selfish sijui kwa nini?![]()
Inaonesha hajaumia kivile si unaona the way akivyotoka nje full shangwe
Tatizo Babu Wenger anaweza kuanzisha wachezaji ambao hawachezi mechi nyingi kwenye Premier League au hawaanzi kwenye kikosi cha kwanza kwenye Premier League kwa lengo la kuwapumzisha wachezaji
Game ya leo Theo kaniudhi sana ameikosesha Gunners ushindi mnono .... ...... ... too selfish sijui kwa nini?![]()