Tupe updates kaka mpaka sahiv kulikoni huko
safi sana.Rosickyyyyyyyyyyyyyyyy
Arseal 2-0 Up
dakika ya 62
Dakika ni ya 82 na Theo Walcott anaonekana ameumia mguu baada ya kugombania mpira na Danny Ross
Na Theo Walcott anatolewa akiwa amebebwa kwenye machela lakini inaonekana ni hatua ya uangalifu tu na sio jeraha kubwa.
Dakika inaenda ya 85
Richard majeraha ya Walcot yatatucost tuna injury kibao now.
Wale jamaa hawajaanza kuja humu.
Richard majeraha ya Walcot yatatucost tuna injury kibao now.