Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Serge Gnabry anaweza toka kwa mkopo,na vermaelen,farbianski hatma yao haijulikan ingawa naamini wenger atawapa mkataba rozisky na sagna kwani viwango vyao vinaridhisha sana
 
:llama::hand::A S 13::mullet::A S 112::rain::blah::spider::decision::wink2::A S-devil4:😡:A S wink::sleep::couch2::usa2::flame::hungry::A S-alert1:😛eace::A S crown-1::sad::bump::bathbaby:😛eep::mvutaji::behindsofa::A S 101:😛ray2::drum:
 
zp_461014029_SM_6886_E9_12D686_3296.jpg




zp_461014029_SM_6947_D9_12D689_9165.jpg





zp_461014029_SM_6973_C7_12D68A_1087.jpg




zp_461014029_SM_7030_18_12D68B_5404.jpg



zp_461014029_SM_7389_E4_12D69D_7275.jpg




zp_461014029_SM_7248_35_12D69B_5233.jpg




zp_461014029_SM_7145_72_12D695_6414.jpg



zp_461014029_SM_7191_96_12D698_2818.jpg




Mazoezi kujiandaa na mtanange wa kesho
kwenye kinyang'anyiro cha FA Cup
 
.......
 

Attachments

  • 1388800102566.jpg
    1388800102566.jpg
    31.9 KB · Views: 85
Arsenal are prepared to trigger Diego Costa's £32M realease fee at Atletico Madrid
_69073040_diego_costa_getty.jpg


By Michael Penkenan
According to a report the 25 year old has been in scintilating form this season notching 19 goals in 17 appearancer in La Liga
Arsene Wenger is ready to buy a man to Emirates in around £32M an amount required by Atletico Madrid as Diego Costa's release fee
Arsenal Wenger finds himself desperately short of strikers, Giroud have been ruled out for six weeks with an ankle injury, where as Bendtner sprained his ankle when scoring the opening goal ina 2-0 win over Cardif city.
 
c jamaa wa southampton walitaka kukitia kitumbua mafuta ya taa,

southampton hawana uwezo wa kutia kitumbua mchanga mkuu wangu. Unajua mechi ya kwanza tuliwapa 3-1, mechi ya juzi 3-0. Sasa jumla tumewatandika 6-1. Samahani najua hapa si mahala pake lakini acha niweke tu rekodi zikae sawa au vipi watani?
 
COME ON YHU GUNNERZZzz!!!

Tatizo Babu Wenger anaweza kuanzisha wachezaji ambao hawachezi mechi nyingi kwenye Premier League au hawaanzi kwenye kikosi cha kwanza kwenye Premier League kwa lengo la kuwapumzisha wachezaji
 
Tatizo Babu Wenger anaweza kuanzisha wachezaji ambao hawachezi mechi nyingi kwenye Premier League au hawaanzi kwenye kikosi cha kwanza kwenye Premier League kwa lengo la kuwapumzisha wachezaji

babu wenger hawez kupumzisha majembe yote. Lazma asilimia kubwa ya kikosi cha kwanza wawepo. Kwakua hakuna haja ya kupumzisha wachezaji ili hali kuna gep la siku 9 kufika game nyingine
 
Tatizo Babu Wenger anaweza kuanzisha wachezaji ambao hawachezi mechi nyingi kwenye Premier League au hawaanzi kwenye kikosi cha kwanza kwenye Premier League kwa lengo la kuwapumzisha wachezaji

Inawezekana Wenger akafanya hivyo maana sometimes haeleweki.
 
Inawezekana Wenger akafanya hivyo maana sometimes haeleweki.

Hapo umenena mkuu na tujue leo Tottenham wamepania kutufunga kweli baada ya kuwafunga kwenye Premier League huku wakiwa wametumia £108M kusajili wachezaji sasa hawatakuwa na kisingizio cha wachezaji walikuwa hawajazoeana kucheza kitimu najua watajituma kupita kiasi ili washinde mechi ya leo
 
Vipi leo nani mshambuliaji pale mbele? Maana Giroud na Bendtner wote majeruhi, Gnaby ama podo?
 
Back
Top Bottom