Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal wanakosa goli la wazi baada ya Mertasacker kupiga kichwa nje alipopewa pasi na Theo Walcott.

Dakika ya 67
 
......daaaaahhhhh, Bendtner katuokoa kwa mara nyingine wallahhh!
 
.......................Back on Top daaaaaadeki!
2 - 0 Arsenal wins....
 
Final WHISTLE.......pheeewwwww...
#TeamMburuKengeUnited mpo wapi?
daaaaaadeki....Mwaka Mpya, #MwendoMdundo .
Belo salaaam za mwaka mpya.

Big Up Gunners wore....uwe mwaka wa kheri na mafanikio kwenu na familia zenu!
Cheeeeeerrrrssss:clap2::clap2::clap2:
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom