Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Dakika nne zimeenda na Cardiff wanajaribu kutandaza soka.

Wachezaji wa Cardiff wa kuchungwa ni Kim na Campbell.
 
Move nzuri imefanywa na Podolski , Cazorla na Walcott kumalizia akapiga nje ya target na ikawa goal Kick.

Dakika inaenda ya 14
 
Arsenal kama kawaida wanatawala mchezo na kinachohitajika ni ufunguaji vyumba.

Cardiff wanacheza "10 men behind the ball" ni mfumo mzuri wa kutaka kucheza "counter attack".

Dakika 21 zimeenda goli 0-0.
 
Jack Wilshere anaangushwa ndani ya eneo la hatari na Gary Medel na mwamuzi anakataa kutoa penalty.

Dakika ya 30 inaenda.
 
Dakika ya 31 na Mwamuzi anaamuru mpira uendele kwa shambulizi la Cardiff City na Per Mertesacker anamkabili Fraser Campbell na Arsenal wanaondoa hatari hiyo.
 
Dakika inaenda ya 40 na mechi imepooza kidogo hakuna ile tempo tuliyotarajia.

Bado magoli 0-0
 
Half Time na magoli ni 0-0

Arsenal hawajacheza kabisa ule mchezo wao wa pasi za hapa na pale na Cardiff wametumia nafasi hio kujaribu kutafuta goli.

Tusubiri kipindi cha pili.
 
Arteta plays -"Where's Flamini?" Flamini plays -"Where's Arteta?" Giroud plays -"Podolski deserves a go" Podolski plays -"Where's Giroud?"
 
Kipindi cha pili kimeanza na dakika 53 zimeenda.

Cardiff wanajihami sana na wanachezwa nusu uwanja.
 
Arsenal wanapata nafasi ya kupiga mpira wa adhabu baada ya Walcott kuangushwa na Ben Turner.
 
Kona kwa Arsenal Cazorla anapiga lakini Walcott anapoteza.
 
Wenger sasa inabidi achukue hatua za dharura.

.......game plan zimekataa mkuu,
It's either fatigue au creativity ya Ozil imekosekana hapa.... Maana jamaa nao wameamua iwe isiwe japo point moja waondoke nayo.

Man City, Chelski na Liverpool are winning their games,.... Not so good news.
 
Arsenal wanafanya mabadiliko na Thomas Rosicky anaingia badala ya Mathieu Flamini na Nicklas Bendtner badala ya Podolski.
 
Back
Top Bottom