Ni mwaka mpya na bado tuko kileleni...
Kuna #Mburukenge walishajiandaa kuja na maneno yao ya shombo...
#WatazoeaTu
View attachment 129793
......who let the dogs out "who,who,...who!"...hahahah....
vijuso vyao viduchuuuu....
Washenzi sana hawa Cardiff.
Safi sana Richard kwa updates, nilikuwa kama natazama vile.
Mwanangu vp weye? Heri ya Mwaka mpya lkn!
Leo mmeshindia bahati!
Ligi Ngumu vibaya!
Arsenal
Man City
Chelsea
Liverpool
Man Utd
Hizi timu zitachuana sn msimu huu ktk top Four!
Everton na spurs sio wapinzani sn!