Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,484
- 4,821
Heri ya mwaka mpya mkuu. Mwaka umeanza vizuri sana, mpaka sasa nimeng'ang'ania kileleni.Mwanangu vp weye? Heri ya Mwaka mpya lkn!
Leo mmeshindia bahati!
Ligi Ngumu vibaya!
Arsenal
Man City
Chelsea
Liverpool
Man Utd
Hizi timu zitachuana sn msimu huu ktk top Four!
Everton na spurs sio wapinzani sn!
Kule Old Trafford mpira umekwisha...
Pamoja na refa kuongeza dakika 5 za nyongeza bila sababu ya msingi matokeo ni:
Man Utd 1-2 Spurs
#JamviLaWageni wamerudi kwenye nafasi yao ya 7..
Yaani sasa hivi wageni wakienda OT #WanajipigiaTu
#WameshazoeaSasa
Hivi Mkuu we unaongelea ligi ipi? Labda tunatofautiana sana, manake mara ya pili nakurekebisha lakini umeshikkilia tu We are still two points above second placed Man City. ....I told U..WATCH OUT YOUR RECORDS CAREFULLY...Thanks Gunners.
Mwendo wetu wa pole pole bado unaendelea. We are still two points above second placed Man City.
Tunahitaji kununua mshambuliaji makini kwa sasa. Pengo linaonekana kabisa na hasa kwenye mechi ya leo ambapo attempts zilikuwa kama 27 lakini kama 6 on target. This is very poor return kwa timu inayopigania ubingwa wa league!
Nimebahatika kuiona game uwanjani leo baada kubahatika kupata ticket. It was nerve-wracking for home supporter after 70 minutes.
Who knows?. Lets enjoy our wins while it lasts.
Heli ya Mwaka Mpya all Gunners.
Once a Gunner, Always a Gunner
Mwanangu vp weye? Heri ya Mwaka mpya lkn!
Leo mmeshindia bahati!
Ligi Ngumu vibaya!
Arsenal
Man City
Chelsea
Liverpool
***Man Utd
we hebu hapo kwenye nyota me naona umeota hao hawapganii ubingwa wanapgania wasishuke daraja...
Heri ya mwaka mpya mkuu. Mwaka umeanza vizuri sana, mpaka sasa nimeng'ang'ania kileleni.
Nkwingwa...Ushindi wa bahati ndio upi eti?..
Halafu, muwe mnatoa live updates kwenye thread yenu badala ya kusubiri mechi imeisha nio mnajitokeza..
Heri ya mwaka mpya Mami...
#Heta @work #Mburukenge Ushindi wa goli mbili nunge unasema tia maji?Hongera sn lkn Jana ilikua Tia Maji tia maji!
Hongera sn lkn Jana ilikua Tia Maji tia maji!