Hapana Chifu....Utamaduni wao kupiga nude pictures kwenye gay magazine?!? Hakuna utamaduni huo katika jamii ya watu straight, hususani katika michezo......
Chifu wangu, nawe unataka kuingia katika hizi siasa za majitaka......hiyo picha ya SAF ni tofauti kabisa, busu la hivyo si ajabu sana kama hilo la Gary na Scholesy au kama hili la Giroud na Debuchy....
![]()
Ndiyo maana hata Gary alivyombusu vile Scholesy ikawa ni headline maker pale Manchester na UK kwa ujumla, kwa sababu siyo kawaida...pamoja na ushoga kuwa ni kawaida kwenye jamii zao, ila katika michezo bado kuna unyanyapaa (stigma) sana juu ya suala la ushoga...ndiyo maana kile kitendo kiliwastaajabisha wengi......
Sasa huyu mpiga makelele Wacha1 anavyokamaliaga eti OT ni ya mashoga kwa sababu ya picha hiyo ya Gary na Scholesy......mimi nikamwonyesha kuwa kama hivyo ni ushoga basi hata hapo Emirates mna lijishoga linaitwa Giroud.....lililopiga nude pictures kwenye gay magazine, na lilimpa french kiss Debuchy kiasi kwa sababisha balaa katika media outlets pale Ufaransa.......
Huyo mpiga makelele Wacha1 anarukaruka tu.....oh, eti Giroud siyo mfaransa.....oh, eti ni tamaduni zao kusalimia hivyo!
Kuna maswali mengi tu nimemwuliza hajajibu.......
Hoja gani? Unaifahamu hoja inayoongelewa hapa?
Pia maswali yangu mengi hayajajibiwa na mpiga kelele....
Ona huyu naye, sijui katokea wapi!!! Unaifahamu hoja yangu?
Nyiye goons msaidieni mpiga makelele kujibu maswali yangu haya.....
Kwa hiyo hapo Giroud alikuwa akimsalimu Debuchy baada ya kufunga goli? Sikujua kwamba wafaransa usalimiana baada ya kufunga goli katika soka!!
Kwa hiyo salamu za wafaransa ni kupigana french kiss?
Kwenye video wewe umeoa ni kisi la kwenye shavu? Unatumia mchina orijino?!
Kwa hiyo ni Giroud tu ndio mwenye kufuata tamaduni za kifaransa katika salamu?
Kupose nude kwenye gazeti la mapusti nako ni tamaduni za kifaransa ama?
Hapana Chifu....
Sidhani kama hizi ni siasa za majitaka maana binafsi zaidi ya upenzi wangu wa soka sina maslahi yoyote katika hizo picha ama gay magazines, vitu ambavyo sidhani kama vina umuhimu wowote katika ushabiki wetu wa soka...
Mimi nadhani njia pekee ya kumuepuka comrade Wacha ni kumpuuza na si kuiga kile anachokizungumza...Hapa unacheza ngoma anayocheza Wacha ambayo inatufanya tushindwe kuwatofautisha....
Utamaduni niliouzungumzia hapo juu ni wa wanaume kupigana mabusu, na nilitaka tu ionekane kwamba kitendo cha Olivier Giroud kumpiga busu Mathieu Debuchy hakina tofauti na kile cha Gary Neville kumpiga busu Paul Scholes wala shabiki kumpiga busu SAF....Na hapa ndipo niliposema ni utamaduni wao labda....
Hayo ya kupiga picha kwenye Gay magazine nadhani ni ya kwake....Kuna watu wengi tu katia sayari hii sio gays lakini wana support ushoga na wengine hudiriki hata kushiriki harakati za kuutetea ushoga ama kushiriki kwenye shughuli za mashoga.....
Nadhani cha msingi ni kuangalia ile burudani tunayoipata uwanjani......Comrade Wacha kakuingiza mtegoni na wewe umeingia kichwakichwa Chifu....
Heshima kwako chifu wangu.....
Wacha1 wacha makelele yako.....
Case closed......
Seasonal greetings from #ManUnited
Happy New Year to You All Gunners
![]()
Hivi Records zako zinaonyesha Cardiff City ndiyo inashikilia mkia? Watch OUT bro...Cardiff ni wazuri sana hasa ikikutana na vigogoKila gunner wa kweli nawatakia kheri ya mwaka mpya wenye mafanikio kwa kila mmoja wetu na hasa timu yetu ambayo mwaka huu imepania kufanya kweli.
Mungu akitujaalia kutuvusha salama mwaka huu wa 2013 kwenda 2014 basi kesho tukutane hapa kufurahia pamoja mwaka mpya kwa Arsenal kwakaribisha Cardiff City timu inayoshikilia mkia hadi sasa na ambayo imevurugwa na mmiliki wake bwana Vincent Tan.
[h=1]SOCCER[/h][h=4]HOME > SOCCER[/h]Hebu fikiria mwaka mpya ukiwa kileleni mwa epl hahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahah acha AW anenepe ,hivi kale kadirisha kadogo ka usajiri kanafunguliwa tarehe ngapi jamani ?huku pochi limetuna linataka kufunguliwa,aje D.costa tuendelee kugonga glas hadi may!
Heshima kwako chifu wangu.....
Wacha1 wacha makelele yako.....
Case closed......
Seasonal greetings from #ManUnited
Happy New Year to You All Gunners
![]()
...kwa team yenu.[h=1]SOCCER[/h][h=4]HOME > SOCCER[/h]
[h=1]Arsenal Transfer Rumors: Gunners To Sign Real Madrid Striker Alvaro Morata On Loan[/h]By James Dudko - Posted: 12/30/13 10:04AM EST![]()
Arsenal may have found the solution to their lack of options at striker. The Gunners are being strongly linked with Real Madrid's young forward Alvaro Morata. Manager Arsene Wenger's English Premier League table-toppers will apparently sign Morata on a six-month loan in January, according to The Daily Mail's Rob Draper.
Real Madrid striker Alvaro Morata is tipped to join EPL leaders Arsenal on a six-month loan in January. (Photo: m.ibtimes.co.uk / James Dudko)
Arsenal have a lengthy injury list with Olivier
Giroud (ankle), Aaron Ramsey (thigh) and
Mesut Ozil (shoulder) out.
Kieran Gibbs (calf) is also missing, while Theo
Walcott (shoulder), Tomas Rosicky (calf) and
Jack Wilshere (ankle) all face late fitness tests.
Cardiff are without Craig Bellamy because of a
knee problem, while Declan John is expected to
continue in place of injured left-back Andrew
Taylor.
Aron Gunnarsson and Peter Odemwingie will
hope to earn recalls.