Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Chifu, nimekuwekea hadi sources za habari, bado unasema ni umbea. Awali nilikuwekea picha ya Giroud aliyopiga nude katika jarida la mashoga, liitwalo Tetu, ukasema ni photoshop. Nikaweka sources ukasema ni umbea.......what kind of a junkie are you? Just google that, you will see everything........

The guy thinks that there are no differences between gay and straight men. That's why he posed nude for the gay magazine!!! Phhhheeeeewwwww

tetu-giroud-couv.jpg

Check out some pictures and a video of Giroud giving a french kiss to Debuchy in a France vs. Germany game!!!

Olivier Giroud embrasse Mathieu Debuchy après son but contre l'Allemagne 20120229 - YouTube
Olivier Giroud and Mathieu Debuchy - Sharing a Moment - YouTube

6a00d8341c730253ef0168e83df542970c-800wi.jpg

un-baiser-d-amour.jpg

Khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee unaongelea kisi za shavuni kweli wewe mkora ... .... .... jifunze historia za nchi tofauti na salam za kitofauti sio ushoga nafahamu chacha maona aibu! Chacha nipe post code kwenye PM nikupitie na ungo mwaka mpya twenzetu Emirates .. .... ... khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee then uacheni kabisa na hayo mashoga ya old Trashford!
 
Khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee unaongelea kisi za shavuni kweli wewe mkora ... .... .... jifunze historia za nchi tofauti na salam za kitofauti sio ushoga

Duh! Kazi kweli kweli!!

Kwa hiyo hapo Giroud alikuwa akimsalimu Debuchy baada ya kufunga goli? Sikujua kwamba wafaransa usalimiana baada ya kufunga goli katika soka!!

Kwa hiyo salamu za wafaransa ni kupigana french kiss?

Kwenye video wewe umeoa ni kisi la kwenye shavu? Unatumia mchina orijino?!

Kwa hiyo ni Giroud tu ndio mwenye kufuata tamaduni za kifaransa katika salamu?

Kupose nude kwenye gazeti la mapusti nako ni tamaduni za kifaransa ama?

Kadanganye eskimos huko Alaska.......katika tamaduni za kifaransa, mwanaume umsalimu mwanaume mwenziwe kwa kushake hands....mwanamke ndiyo mwenye kusalimu kwa kumpa busu la shavuni anayemsalimu, awe mwanaume ama mwanamke mwenziye.....mwanaume pia anamsalimu mwanamke kwa kumbusu shavuni.....ila kwa mwanaume mwenziye, basi atampa mkono na kushake hands, labda awe ni ndugu yake wa damu.....

Hiyo ya mwanaume kumpa busu la shavuni mwanaume mwenziye ni common kule Mashariki ya Kati, Amerika ya Kusini na Ulaya Mashariki......
 
Hivi aliyekwambia Giroud ni mfaransa alifu ni nani? Haya katwambie basi na kina Scholes ... ... ... .khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
article-0-1A54C33900000578-134_634x428.jpg

Laurent Koscielny and Per Mertesacker have not been
shown a yellow since the opening day
 
Mkuu, this is football!.

What's records?. Have you ever thought kama Man United katika kipindi hiki atakuwa kwenye nafasi ya sita kutoka kileleni huku akiwa na point nane chache na tofauti ya magoli 9 ukilinganisha na timu iliyoko kileleni.

Any win for us ni bonus na tuna haki ya msingi kufurahia na kushangilia.

Join the queue!.
Nahisi hujanielewa....1st and 2nd top team in the table differ for 1 point and NOT 2 POINTS....Moreover RECORD is NOT HISTORY
 
Duh! Kazi kweli kweli!!

Kwa hiyo hapo Giroud alikuwa akimsalimu Debuchy baada ya kufunga goli? Sikujua kwamba wafaransa usalimiana baada ya kufunga goli katika soka!!

Kwa hiyo salamu za wafaransa ni kupigana french kiss?

Kwenye video wewe umeoa ni kisi la kwenye shavu? Unatumia mchina orijino?!

Kwa hiyo ni Giroud tu ndio mwenye kufuata tamaduni za kifaransa katika salamu?

Kupose nude kwenye gazeti la mapusti nako ni tamaduni za kifaransa ama?

Kadanganye eskimos huko Alaska.......katika tamaduni za kifaransa, mwanaume umsalimu mwanaume mwenziwe kwa kushake hands....mwanamke ndiyo mwenye kusalimu kwa kumpa busu la shavuni anayemsalimu, awe mwanaume ama mwanamke mwenziye.....mwanaume pia anamsalimu mwanamke kwa kumbusu shavuni.....ila kwa mwanaume mwenziye, basi atampa mkono na kushake hands, labda awe ni ndugu yake wa damu.....

Hiyo ya mwanaume kumpa busu la shavuni mwanaume mwenziye ni common kule Mashariki ya Kati, Amerika ya Kusini na Ulaya Mashariki......
Chifu nadhani hizo picha zisikuchanganye sana...Inawezekana hawa wenzetu ndio utamaduni wao labda....

article-0-012D7E9500000578-158_306x311.jpg

gary-neville-kiss-paul-scholes.jpg

manchester-united-gay-kiss.jpg
 
Ndio wanaanza kupotea. Soon watarud kwenye ile nafasi yao

Ukweli kwa vikosi vya Team kama Liverpool na Everton wamejitahidi sana kukaa kwenye Tano bora ya Premier League,tofauti na team za Man City,Chelsea,Tottenham,Man Utd na Arsenal ambayo hata kama ina mapungufu ya Foward lakini ina viungo ambao wanaweza kucheza Centre Foward kama Podolski na Walcott
 
Hivi unakijua ulichokiandika? Hembu jisome vizuri ulichokiandika...Umeipongeza LP na Toffees....mstari wa mwisho unamuingiza Arsenal(Podo na TW)(Badala ya hizo teams 2 ulizozipongeza)...Sasa LP ina mapungufu ya Forward?
 
......hahahahahaaaa! 'Umemkoma nyani giladi!'

Hapa hoja imejibiwa kwa hoja saaafi kabisa....

Haya Nzi, tafuteni jingine
Nzi kakamatwa, hoja yake ishakuwa vapor
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: Mbu
Chifu nadhani hizo picha zisikuchanganye sana...Inawezekana hawa wenzetu ndio utamaduni wao labda....

Utamaduni wao kupiga nude pictures kwenye gay magazine?!? Hakuna utamaduni huo katika jamii ya watu straight, hususani katika michezo......

Chifu wangu, nawe unataka kuingia katika hizi siasa za majitaka......hiyo picha ya SAF ni tofauti kabisa, busu la hivyo si ajabu sana kama hilo la Gary na Scholesy au kama hili la Giroud na Debuchy....

un-baiser-d-amour.jpg

Ndiyo maana hata Gary alivyombusu vile Scholesy ikawa ni headline maker pale Manchester na UK kwa ujumla, kwa sababu siyo kawaida...pamoja na ushoga kuwa ni kawaida kwenye jamii zao, ila katika michezo bado kuna unyanyapaa (stigma) sana juu ya suala la ushoga...ndiyo maana kile kitendo kiliwastaajabisha wengi......

Sasa huyu mpiga makelele Wacha1 anavyokamaliaga eti OT ni ya mashoga kwa sababu ya picha hiyo ya Gary na Scholesy......mimi nikamwonyesha kuwa kama hivyo ni ushoga basi hata hapo Emirates mna lijishoga linaitwa Giroud.....lililopiga nude pictures kwenye gay magazine, na lilimpa french kiss Debuchy kiasi kwa sababisha balaa katika media outlets pale Ufaransa.......

Huyo mpiga makelele Wacha1 anarukaruka tu.....oh, eti Giroud siyo mfaransa.....oh, eti ni tamaduni zao kusalimia hivyo!

Kuna maswali mengi tu nimemwuliza hajajibu.......

......hahahahahaaaa! 'Umemkoma nyani giladi!'

Hapa hoja imejibiwa kwa hoja saaafi kabisa....

Haya Nzi, tafuteni jingine

Hoja gani? Unaifahamu hoja inayoongelewa hapa?

Pia maswali yangu mengi hayajajibiwa na mpiga kelele....

Nzi kakamatwa, hoja yake ishakuwa vapor

Ona huyu naye, sijui katokea wapi!!! Unaifahamu hoja yangu?

Nyiye goons msaidieni mpiga makelele kujibu maswali yangu haya.....

Kwa hiyo hapo Giroud alikuwa akimsalimu Debuchy baada ya kufunga goli? Sikujua kwamba wafaransa usalimiana baada ya kufunga goli katika soka!!

Kwa hiyo salamu za wafaransa ni kupigana french kiss?

Kwenye video wewe umeoa ni kisi la kwenye shavu? Unatumia mchina orijino?!

Kwa hiyo ni Giroud tu ndio mwenye kufuata tamaduni za kifaransa katika salamu?

Kupose nude kwenye gazeti la mapusti nako ni tamaduni za kifaransa ama?

Last edited by a moderator:
Ilikua game ngumu, the boys have proven they got gritty and can match any physical game against them, Wishere alicheza vyema kidogo sio kama Etihad, ila Flamini, bana huyu jamaa karudi na usongo mpya, anajua vijana wetu walivyo, hawaongei, hawarekebishani. Per Mertasecker bomba mno.....Nili enjoy kama nyinyi kwenye hii game...
Ozil hata kama angekua fit, hii game isingemfaa, ana kawaida zile za kupoteza mpira na kuto kujaribu kuurudisha na kukaba kwake kuna mashaka...
Le Prof anaweza kuwa point unajua kuhusu squad yake, kurudi kwa kina Podolski, kina Serge Gnabry, Nacho Monreal, Jenkinson, hata mjomba Nicklas sio mbaya unajua? Jamaa ana rekodi nzuri sana na Denmark...
Anyway labda ka sriker ka kusaidia tena mbele, ningependa wacheze wawili mbele muda mwingine, ila mkubwa ndio muamuzi...
"Happy Days Gooners..."
 
Kila gunner wa kweli nawatakia kheri ya mwaka mpya wenye mafanikio kwa kila mmoja wetu na hasa timu yetu ambayo mwaka huu imepania kufanya kweli.

Mungu akitujaalia kutuvusha salama mwaka huu wa 2013 kwenda 2014 basi kesho tukutane hapa kufurahia pamoja mwaka mpya kwa Arsenal kwakaribisha Cardiff City timu inayoshikilia mkia hadi sasa na ambayo imevurugwa na mmiliki wake bwana Vincent Tan.
 
Kheri ya mwaka mpya Jaman Nakutakien kila lilo kheri wanasport wote katika mwaka ujao wa 2014.
I bilieve 2014 utakuwa mwaka wa mafanikio zaidi kwa Gunners.
...COYG..

Thx! And happy new year to all in this thread!
 
Nzi

Nachubiri majibu kesho nikupitie wapi? Allow enough time for transport i.e Ungo kutoka Alaska hadi East Coat 15 minutes, across Antlantic 1 hour kutua Emirates inategemea na hali ya hewa nachikia kutakuwa na mvua allow 30 minutes chi unajua lazima nipate kibali cha kukuingiza dimbani. Wachana na hao Mashoga wa old trashford .... .... .... .... .... .
 
Kila gunner wa kweli nawatakia kheri ya mwaka mpya wenye mafanikio kwa kila mmoja wetu na hasa timu yetu ambayo mwaka huu imepania kufanya kweli.

Mungu akitujaalia kutuvusha salama mwaka huu wa 2013 kwenda 2014 basi kesho tukutane hapa kufurahia pamoja mwaka mpya kwa Arsenal kwakaribisha Cardiff City timu inayoshikilia mkia hadi sasa na ambayo imevurugwa na mmiliki wake bwana Vincent Tan.

..check facts zako mkuu, Cardiff city hawashikilii mkia...au unamaanisha?
 
Back
Top Bottom