Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Nilisema mwanzo sipendi kutowa dosari
Mpira tunacheza ndio tukakuona humu hutoki kuangalia maendeleo ya Arsenal vyenginevyo ungelikwenda kwenye jukwaa la Cardiff (kama lipo)
Usitafute kisingizio cheza mpira ushinde,kwa hiyo hamjachukua ubingwa miaka 8 kwa sababu ya marefa?
 
dah leo ndo utaeza jua ni kiasi gani creativity ya ozil inamic pale mbele..zinapgwa pasi ambazo hazina madhara kabisa
 
Prof atabadili mambo kipindi cha pili, NC nguvu yao itaisha .... .... link kati ya midfielder na forward bado kuelewana .... ....
Hamna creativity, midfielders hawaelewani kabisa
 
Giroud 1 up ... ..

Prof knows ..... .... ..... .safi sana ... ...COYG
 
Sasa mpira unaanza rasmi maana Newcastle walikuwa wanataka sare.
 
Giroud anakosa goli la wazi la pili.

Arteta anaingia badala la Gibbs ambae ameumia.

Falmini anaenda kushoto.
 
Back
Top Bottom