Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,484
- 4,821
Daah...Newcastle wanajiangusha mpaka wanaboa...
hata Wilshere hayupo safi leo.Giroud anakosa goli la wazi la pili.
Arteta anaingia badala la Gibbs ambae ameumia.
Falmini anaenda kushoto.
Hawa Newcastle sio wa kuwaamini.Arsenal lazima hapa wawe waangalifu wanaweza kupoteza hizi 3 points.
Subs za wenger sizielewi...Atamtoaje Walcot?
Subs za wenger sizielewi...Atamtoaje Walcot?