Shark
JF-Expert Member
- Jan 25, 2010
- 29,915
- 30,027
Dakika ya 85
Newcastle 0-1 Arsenal
Dah....Tunashambuliwa...
Giroud nje....Bendtner ndani
Mungu saidia hilo 1 lisirudi! !
Dakika ya 85
Newcastle 0-1 Arsenal
Dah....Tunashambuliwa...
Giroud nje....Bendtner ndani
Gibbs kaumia na nafasi yake ndio aliingia Arteta.Tumekoswakoswa....Beki inajichanganya....Hivi Gibbs kaumia?
Gibbs kaumia na nafasi yake ndio aliingia Arteta.
hapa presha inapanda na kushuka.Mungu saidia hilo 1 lisirudi! !
Gibbs kaumia na nafasi yake ndio aliingia Arteta.
Dah....
Tunakoswakoswa...Tunashambuliwa kweli....
Tunalinda goli matokeo yake tunaruhusu mashambulizi...
Wenger bana.Duh wenger karidhika na bao moja naona
hapa presha inapanda na kushuka.
Hawa Newcastle sio wa kuwaamini.
Dakika 4 za nyongeza