Ntuzu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2013
- 17,418
- 10,877
arsenal sio robo fainali tu hadi nusu na fainali tutafika.
Mwana wane Wa ufipa!
Mi niko hapa tutaona
arsenal sio robo fainali tu hadi nusu na fainali tutafika.
Mwana wane Wa ufipa!
Mi niko hapa tutaona
#TCleverly story kubwa ni kuwa mpo nafasi ya 9 mpaka sasa kuelekea msimu WA sikukuu..
#Story kubwa NI kuwa mshapoteza michezo 5 so far...
#Story kubwa Ni kuwa Mna average Manager ndani ya club yenu...
#BTW ; Kati yenu na Tottenham nani walistahili kufukuza Kocha??
Tutakuwepo pamoja
Kipigo kimewachanganya sana hamtaki kukubali,Pole sana bingwa
Tupo nafasi ya 8 na sio ya 9
Tuna average manager lakini still tumewafunga mabingwa wa mech 8
Next Monday mkifungwa mnarudi kwenye ubingwa wenu kwa miaka 8 mfululizo
Gunnerz forever
Unamkumbuka huyu alivyowafanya?
BTW huyu jamaa ana medali 13 za ubingwa wa EPL, sawa kabisa na za goons toka genge limeundwa karne ya 19!!
Habari zenu wakuu wa Gunners .... .... ..... ..... .. holiday imeisha chacha ngoja tupambane na hawa mburukenge wanaoshabikia Mafioso na manure. mtanange ndio kwanza unaanza hivi nipo salama salimini najaribu kutengeneza ungo wangu kwa safari rasmi ya Emirates J3 tutakapowakaribisha wauza unga. Ngoja nisome kidogo vijineno vya wanaoogopa timu yetu.
Khe khe khe keh keh khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
BTW nachikia ati hata kina mentor ing I d i o t s nao wamevamia jukwaaa ..... ..... ... ngoja wasikimbie tu ... ...
Lete habari mkuu nawaangalia Manure hapa naona wana wakati mgumu sana. Wacha wacheme watakiona cha mtema kuni mwaka huu ..... .............. ati Young Diver ndio tegemeo lao la goli .... .... ... .... khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Arsenal 1- everton 1
napoli 2 - arsenal 0
man city 6 - arsenal 3.
*arsenal 1 - chelsea 4.