Ntuzu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2013
- 17,418
- 10,877
Kama mlivyowafanya Fc Basel...kwenye makundi.
Ila Mwanangu hako Ka timu kalitushika makaliooo!
Lkn Hakuna tena kufanya makosa!
Yani nyie jirani zetu Ndo nawapa pole!
Kama mlivyowafanya Fc Basel...kwenye makundi.
Utakuwa ushoga wa hali ua juu kutolewa na Bayern kwa mwaka huu tena, Babu lazima asajili mtu kama Diego Costa au Suarez ili amsaidiie Giroud in strikingforce otherwise tutatoka kwa uraisi sana
Arsenal vs Bayern na man city vs Barcelona.......hizi timu zitatoa burudani nzuri. Hapa naona ndio tumefikia mwisho wetu.
Nani anatia huruma wewe.
tunawavua ubingwa bayern.
Chagua moja kwa kujiamini sio una-flipflop kwenye same issue.
somewhere at twitter Champions League ‏@ChampionsLeague 2m Philipp Lahm and @JB17Official were in agreement that Arsenal are "the toughest team we could have drawn"
somewhere at twitter Champions League ‏@ChampionsLeague 2m Philipp Lahm and @JB17Official were in agreement that Arsenal are "the toughest team we could have drawn"
Striker wote wazuri wamekwisha cheza uefa wenger kasha chelewa asajili wamsaidie epl
Haters bhana!! Gunners kupangwa Tha Bavarian wanasema ndio mwisho wa Arsenal mpira hauchezwi mdomoni Jaman mpira unachezwa uwanjani.
Subiri dozi nyingine
Mtaumbuka saana safari hii nyie endeleen kupiga kelele kwa sasa.
Haters bhana!! Gunners kupangwa The Bavarian wanasema ndio mwisho wa Arsenal mpira hauchezwi mdomoni Jaman mpira unachezwa katika pitch na hapo ndipo mshindi anapatikana, mshindi hapatikani midomoni.
Achana na Bayern game ni February,fikiria Dec 23 ukipigwa na Chelsea huenda ukarudi namba 4
Mtaumbuka saana safari hii nyie endeleen kupiga kelele kwa sasa.